ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu inapungua.Raisi anapanga Baraza la mawaziri, Chadema ndo wanarusiwa,cio ukawa, chadema wakigoma kuwashirikisha Cuf kuwapa nyazifa hawwezi kushitaki popote.Muungano wao hautambuliki kisheria kutoka kwa msajili wa vyama.Balaa hayo mambo ya kisomi Lipumba sungura.
Bintiwangara hujalala? ni pm basi mimi mpwekeLipumba anatumika na maccm , 2010 alimsaidia kikwete kumuongezea kura usimtetee
Mkuu ungejua jinsi sheria zinavyo weka ugumu wa vyama kuungana, ungetoa heko kwa hatua waliyo fikia.kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu inapungua.Raisi anapanga Baraza la mawaziri, Chadema ndo wanarusiwa,cio ukawa, chadema wakigoma kuwashirikisha Cuf kuwapa nyazifa hawwezi kushitaki popote.Muungano wao hautambuliki kisheria kutoka kwa msajili wa vyama.Balaa hayo mambo ya kisomi Lipumba sungura.
"A US military attack against Syria was unexpectedly put on hold on Saturday, after the U-Turn from president Barack Obama,he earlier backed the use of force after what he called "the worst chemical weapons attack of 21st century of Syria's government to its people",Ulimwengu wa Siasa Tanzania August 06 2015 umepokea headlines nyingine zenye uzito ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho.Kwenye kile alichokisema wakati anatangaza kujiuzulu, yako na maneno mengine haya hapa >>> 'Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta… Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA' >>>> Prof. Lipumba.Hapa ilikuwa meza kuu, yuko Freeman Mbowe (CHADEMA), Edward Lowassa (CHADEMA) na Prof. Lipumba (CUF)
Sentensi nyingine amesema hivi >>> 'Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke… Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT'-Prof. Lipumba.Hapa nina pichaz nyingine Kumbukumbu ya July 28 2015 siku Edward Lowassaalivyokaribishwa rasmi CHADEMA na UKAWA.
nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa huyo jamaa kashikishwa mahela.Unafanya mchezo na escrow mahela wewe....zimetumika na jamaa kanywea kasema liwalo na liwe lakini kigunia cha noti sikiwavhi