Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

UDOM Inatoa wanafunzi majuha sana kama huyo chaliii.

hakuna sababu ya kutaja taasisi ya elimu kisa kosa la mtu mmoja, wawili or whatever. Kuna waliomaliza UDOM na wako vizuri tu,,,makasiriko yako ungepeleka kwa huyo muusika na sio kuchafua taasisi za watu
 
Yanga ilienda na ATCL Nigeria, Simba inashindwaje kwend
Uto walienda ijumaa usiku wakfika alfajiri Jmosi, mechi akachezwa jioni ya siku hiyo hiyo ya jmos. usiku wakarudi yaani hawakuwa na cha kupoteza.
Sisi hatuna ushamba wakupanda ndege tumesha zoea. Utopolo wakiambiwa na pyramid au Tripol kuna siti za ndege ziko wazi watasafiri wataanza kusema wanaendelea n pre season kutafuta muunganik. Yaaini wasione ndege safari inaanza utadhani mabaaria
 
Nilichogundua ni kwamba Tanzania watangazaji wengi wa michezo hawajuwi wakifanyacho, yaani hawana weledi wowote wako tu pale kimakosa kwa sababu hawana la kufanya. Ukiondoa Cahrles Hilary enzi zake, sidhani kama kuna mtangazaji yeyote wa michezo Tanzania yaani wa maana. Wote ni sawa na Haji Manara tu (hawajitambui).
 
Usafiri wa ndege sio kama mabus mkuu, Game inaisha tar 17, hiyo jioni wanapanda ndege na kabla hapajakucha wanakuwa wamefika Tz, Tar 18,19 na Tar 20 wanacheza mechi yao na Polisi

Rejea Safari ya Taifa Stars kutoka Benin na Yanga kutoka Nigeria ambao walikodi ndege za Air tanzania
Wachezaji wa polisi wameshapokea fungu toka kwa yule Mwarabu mkwepa kodi mwandamizi ili wawaumize wachezaji wa Simba kabla ya mechi ya marudiano, tumestuka.
 
Hakuna Tasnia Nchi hii yenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria na kupambanua Mambo Kama taaluma ya habari. Siku tuliokubaliana kuwa waliokosa pakwenda ndio wakasomee habari, siku tuliyoamua watu wafanye kazi ya habari Kama part time. Ndizo siku tuliharbu kila kitu.
Una maana hawa vilaza hawana tofauti na wale wazee wa PGO?
 
Wachezaji wa polisi wameshapokea fungu toka kwa yule Mwarabu mkwepa kodi mwandamizi ili wawaumize wachezaji wa Simba kabla ya mechi ya marudiano, tumestuka.
na wamelalamika kweli wakati wana game jingine tarehe 24, fungu la kucheza kung fu limeyeyuka maana walitakiwa siku hiyo watengue viuno wachezaji wa simba kama 7 hivi
 
Mimi kura yangu ni kwa Edo. Ni mchambuzi ambae kwanza hatumii nguvu sanaaa kufanya kazi yake,utani kidogo na jamaa anajua sana kuandika.
Strory teller.....sio mchambuzi.
Akiandika makala, maoni yake kuhusu jambo flani huwa yupo vizuri.
Ila sio mchambuzi yule wa kuchambua mbinu, mifumo na makosa yaliyotokea kwenye mechi husika.
 
uvivu wa kufatilia mambo kwa sisi walio wengi ndo tunapa sifa za wachambuzi baadhi ya watu ...
 
Mm cwez wasililizawachambuz wapira nitafatiliaa mwenyee cwez mtegemea et prival anapashe hbr za mpira na kina prisca cjui kitengee cwezi nitasioiliza tarabu
 
Yan hiz radio station za sasa sjui znatumiaga vigezo gan kuwapa ajira watu wanaoitwa wachambuz Weng sasa n hewa tu hawajui mpira Kama huyo priva sjui mchaga gan mjinga Kama huyo jamaa mwingine anajiita majan East Africa n uswahil tu kuremba kuongea upuuz tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom