mike2k JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 1,650 Reaction score 3,651 Dec 19, 2021 #21 Kichuguu said: Siyo kweli, hiyo imepigwa Magharibi ya mlima Kilimanjaro Click to expand... Acha ubishi kijana. Hiyo picha imepigwa mbuga ya Amboseli nchini kenya. Ndo sehemu pekee mlima Kilimanjaro unakuwa na muonekano mzuri kama huo. Hao wanyama hapo ni Amboseli.
Kichuguu said: Siyo kweli, hiyo imepigwa Magharibi ya mlima Kilimanjaro Click to expand... Acha ubishi kijana. Hiyo picha imepigwa mbuga ya Amboseli nchini kenya. Ndo sehemu pekee mlima Kilimanjaro unakuwa na muonekano mzuri kama huo. Hao wanyama hapo ni Amboseli.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,755 Reaction score 50,830 Dec 19, 2021 #22 Kichuguu said: View attachment 2049407 Click to expand... Wanatumia fursa
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,942 Reaction score 43,599 Dec 19, 2021 #23 Kichuguu said: View attachment 2049407 Click to expand... Tanzania kuna magaidi acha watalii waende kenya
Kichuguu said: View attachment 2049407 Click to expand... Tanzania kuna magaidi acha watalii waende kenya
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,165 Reaction score 19,815 Dec 19, 2021 #24 johnthebaptist said: Ukiwa Kenya mlima Kilimanjaro unaonekana " vizuri " zaidi! Click to expand... Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro!
johnthebaptist said: Ukiwa Kenya mlima Kilimanjaro unaonekana " vizuri " zaidi! Click to expand... Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,600 Dec 19, 2021 #25 Manjagata said: Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro! Click to expand... Utaupandaje wakati uko Tanzania?!!
Manjagata said: Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro! Click to expand... Utaupandaje wakati uko Tanzania?!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Dec 19, 2021 #26 Ujanja kupata na siyo kuwahi...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,955 Reaction score 29,328 Dec 19, 2021 #27 Kichuguu said: Kuona mlima hakuna uhusiano na elimu yangu; unaonyesha wewe una elimu ndogo kiasi kuwa hata hujui maana ya elimu. Click to expand... Ndiyo sababu nikasema elimu ndogo ona sasa unathibitisha mwenyewe, angalau ungesoma mpaka la sita jografia ingekusaidia kujua kuwa mlima Kilimanjaro uko mpakani mwa Tanzania na Kenya hivyo lazima utaonekana upande wa Kenya.
Kichuguu said: Kuona mlima hakuna uhusiano na elimu yangu; unaonyesha wewe una elimu ndogo kiasi kuwa hata hujui maana ya elimu. Click to expand... Ndiyo sababu nikasema elimu ndogo ona sasa unathibitisha mwenyewe, angalau ungesoma mpaka la sita jografia ingekusaidia kujua kuwa mlima Kilimanjaro uko mpakani mwa Tanzania na Kenya hivyo lazima utaonekana upande wa Kenya.