Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
mama kuanzia leo nakuheshimu na kweli unastahili kuwa first lady kwa hekima hiziEEEeeeeeeiiiiii Jamani .. Polepole..ehe!! sasa matusi ya nini..!!
Mimi nadhani kuna TATIZO KUBWA SANA SEHEMU FLAN, Kuna mapandikizi ya watu wanaojiita waislam au hata wakristu lakini si kweli kwamba ni wapenzi wa dini husika, kazi yao ni kudhalilisha dini za Mwenyezi Mungu kwa kuandika taarifa ambazo zitaidhalilisha dini flani mbele ya jamii
.. Toka lini Masuala ya elimu yakamegeana na dini? ni kama mtu asemaye mapenzi yana dawa ni kudhalilishana tu. kwanza unaposema watu wanafelishwa ni kitu cha ajabu sana, watahiniwa hawaambatanishi majina yao na namba za mitihani yao sambamba, vitu hivi hutengwa, na msahihishaji asahishapo hajui kama huyu ni hamisi, ramadhani, neema, au Joni.. anapambana na namba ya mtahiniwa tena bila kujua ni wa jinsia gani na akimaliza kibarua chake humpatia karatasi mwenzie ambaye huhakikisha je ni kweli alivyosahihisha? na mwisho kiongozi wa stesheni huhakikisha, sasa wote hao watatu wanaweza kumchakachua mtu wasiyemjua?, wakimaliza huorodhesha matokeo na baadae kazi yote hupelekwa kwenye database yenye kumbukumbu ya majina na kuoanisha kabla ya kuyatangaza. na "Database" husika inabema maelfu ya majina na ukiikoroga tu kidogo umeharibu kila kitu. sasa nani huyo atokee ati achezeshe huyu afeli huyu asifeli, jamani mbona mambo ya aibu haya. vilevile maelfu ya wakristu wana majina ya kiislam, kusikia padri au mchungaji Ramadhani, Husein, Juma ni kitu cha kawaida kwenye jamii yetu, sasa nani huyo ati aangalie huyu ingawa ana jina la kikristu lakini inawezekana ni mwislam huyu wacha nimfelishe!!!! shit!! ni upuuzi na utani wa kudhalilisha Dini huu..Dini hizi zimekuja juzi tu hapa TZ, tulikuwa na majina yetu wajanja hawa wakatupachikia imani na dini zao plus majina yao kwamba tunakuwa hata wendawazimu wa kuandika wazimu gazetini.Dini ziliikuta jamii ya Kitanzania isitoshe zaweza ondoka Tanzania ikabaki pale pale.
.. Inakuwaje Mwandishi anapata nafasi ya kutumia kalamu yake kuandika kitu kama hii, kisha mhariri mkuu anasema Inshallah iandikwe, kisha Jopo la pasmota ya gazeti wanaridhia Habari kama hii itolewe, yenye kuleta aibu na kudhalilisha heshima na utu wa ustaarabu wa Dini na kisiwa chetu hifadhi ya neema ya marashi ya Karafuu na Utalii?
Kama Mchangiaji alivyosema, elimu ni mapambano, nadhani tupambane, lakini pia si hekima wachangiaji wakatumia mwanya huu kudhalilisha utu na Heshima za dini zetu za Ubudha, Uyoga, Ukristu au uislam.. Tuheshimiane kama jamii.. akiropoka mlemavu wa kimawazo na mtazamo mmoja basi tusionekane wote kuku na kuporomoshewa mimatusi..
ALAMSIK..
Mkuu hawa watu watakuwa ni vichaa. Wakati wa kusahihisha mitihani kinachoonekana ni nambari ya mtihani ya mtahiniwa na siyo jina lake. Sasa iweje wanafunzi waislam wasahihishwe vibaya wakati hata majina yanakuwa hayapo? Badala ya kukaa wakilalamika ovyo ni bora wakajitahidi kusoma, wasitegemee elimu ni ya mteremko kiasi hicho.
Napata mashaka kama kuna mzanzibari mwenye akili timamu!
Tumeshindwa kukaa chini na kutafakari nini kimesababisha kufeli kwao na sasa wanalalama kila uchao. waislamu wapo ambao walikomaa wakafaulu lkn tukiendelea kupaka hina ktka miili yetu lini na saa ngapi utasoma. lkn pia wakumbuke waliofeli si wao tu wapo pia wakristu na hata wasio kuwa na madhehebu nao pia walifeli, je nao wamlaumu nani? tafakari
Tatizo hawajui kucheat, wanafunzi walipema majibu ya mitihani na kila mmoja kuandika sawa na wenzake... aibu mpk spelling zilizokosewa nao walinakiri hivyo hivyo! Shame kwa waalimu wa zenj!
Mkuu hawa watu watakuwa ni vichaa. Wakati wa kusahihisha mitihani kinachoonekana ni nambari ya mtihani ya mtahiniwa na siyo jina lake. Sasa iweje wanafunzi waislam wasahihishwe vibaya wakati hata majina yanakuwa hayapo? Badala ya kukaa wakilalamika ovyo ni bora wakajitahidi kusoma, wasitegemee elimu ni ya mteremko kiasi hicho.
issue hapo si Uzanzibar, Wagalatia mna roho ya choyo na ndo maana mnakurupuka kuchangia ! Mmejaa dharau na kiburi, lete 'contents' za hiyo habari, lakini karibuni tu mtaumbuka. Walim wa Kiislaam wanahoji iweje 70pcnt ya Wanafunzi wafeli Islamic Knowl. Lakini hapo hapo 90pcnt wamepasi Bible Knowl ? Imejengwa hoja kwa data ! Na hili litaumbua watu karibuni tuu !
Wamesahau kuwa watoto wao wanawashindisha Madrassa kuliko Shuleni wakitaga wanakuja na hoja dhaifu kama hizi.
Wazanzibar mnajitia aibu jamani badilikeni
issue hapo si Uzanzibar, Wagalatia mna roho ya choyo na ndo maana mnakurupuka kuchangia ! Mmejaa dharau na kiburi, lete 'contents' za hiyo habari, lakini karibuni tu mtaumbuka. Walim wa Kiislaam wanahoji iweje 70pcnt ya Wanafunzi wafeli Islamic Knowl. Lakini hapo hapo 90pcnt wamepasi Bible Knowl ? Imejengwa hoja kwa data ! Na hili litaumbua watu karibuni tuu !
mdogo wangu ni mkali ile mbaya wa dini, kahifadhi juzuu zote, eti anapata F !Tumezoea kwamba mara zote waislamu ni watu wa kulalama tuu. Lakini hebu tuangalie vizuri hoja zao:
1. Wasahihishaji mitihani huwa ni waalimu ambao ni wataalamu katika somo husika. Bila shaka wakati wa usahihishaji wanaona trend ya ufaulu na alama kwenye karatasi. Hivyo hawa waalimu leo wakilalamikia kwamba Islamic knowlegde kwanini hakuna A, B wala C bali kuna D 7 tuu ... hata mimi napata mashaka kidogo na hilo Baraza la mitihani.
2. Nadhani miaka iliyopita kulikua na A's, B's nk kwenye somo hilo hilo la Islamic knowledge ... wakati huo somo hilo lilikua na paper tatu ... mwaka huu paper zilikua mbili tuu na ghafla hizo gredi zimetoweka. Hapa pia napata shaka.
Binafsi siamini kama Baraza la Mitihani lina hujumu Uisilamu. Na ili kuhakikisha hivyo, naomba Baraza wajitokeze wajibu hizi tuhuma kwa ufasaha, na waoneshe kweli kubadili kutoka paper tatu hadi mbili hakujaathiri kwa namna yoyote matokeo ya somo la elimu ya dini ya kiislamu.
lugha ni lugha tu, hata kimachinga ! Issue ni kwanini majibu hayafanani nAukweli ?wewe sheikh iyo paper ya Islamic knowledge inaulizwa kwa lugha gani?