J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
"Bwana Mungu akasema, si vema huyo mtu (Adamu) awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kua nae. Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito naye akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja na akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu".(MWANZO 2:18-20)
Maana yake ni nini basi kumbe linapokuja swala la nani awe mume ama mke ni Mungu mwenyewe anapaswa asimame kukuletea msaidizi wa kufanana na wewe kulala usingizi kwa maisha ya sasa ni kujiheshimu,Imani kwa Mungu na uvumilivu wa kungoja au kusubiri Wakati wa Bwana,ndiyo njia zitakazo kuongoza kumpata Mwenza wa Maisha yako atokae kwa bwana
Kumbuka apandacho mtu ndicho avunacho siku zote usipotulia na kungoja wakati wa bwana jua kuhangaika ni lazima lakini ukisubiri na kua mwaminifu atakupa tu Mungu hufanya kazi pamoja na wampendao. Pia anasema msijisumbue kwa neno lolote bali kwa kusali kuomba na kushkuru na haja zenu zijulikane na Mungu. nawatakia usiku mwema na maandalizi mema ya ibada ya kesho..........