Vladmir Putin Senior Member Joined Mar 14, 2016 Posts 139 Reaction score 70 Jul 14, 2018 #1 Wale wa buku saba njooni muone . Attachments Capture.PNG 107.4 KB · Views: 125
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,053 Jul 14, 2018 #2 Kenya viongozi wao akili kubwa, achana na hawa majirani zao Kenya ambao rais wao hana hata sifa ya kuwa baba wa nyumba
Kenya viongozi wao akili kubwa, achana na hawa majirani zao Kenya ambao rais wao hana hata sifa ya kuwa baba wa nyumba
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Jul 14, 2018 #3 gemmanuel265 said: Kenya viongozi wao akili kubwa, achana na hawa majirani zao Kenya ambao rais wao hana hata sifa ya kuwa baba wa nyumba Click to expand... Umenena kweli kabisa Mkuu.. Imagine Mkuu wa Nchi anatangaza kabisa hadharani kupiga Shangazi wa PM wake.. Watu wengine kaa wamelaaniwa vile.
gemmanuel265 said: Kenya viongozi wao akili kubwa, achana na hawa majirani zao Kenya ambao rais wao hana hata sifa ya kuwa baba wa nyumba Click to expand... Umenena kweli kabisa Mkuu.. Imagine Mkuu wa Nchi anatangaza kabisa hadharani kupiga Shangazi wa PM wake.. Watu wengine kaa wamelaaniwa vile.
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,513 Reaction score 3,350 Jul 14, 2018 #4 Tunaongozwa na JIWE nawakumbusha tuuu
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,053 Jul 14, 2018 #5 MENGELENI KWETU said: Umenena kweli kabisa Mkuu.. Imagine Mkuu wa Nchi anatangaza kabisa hadharani kupiga Shangazi wa PM wake.. Watu wengine kaa wamelaaniwa vile. Click to expand... Hahahaha na na pm anashangilia kisa kulinda madaraka! Jinga sana
MENGELENI KWETU said: Umenena kweli kabisa Mkuu.. Imagine Mkuu wa Nchi anatangaza kabisa hadharani kupiga Shangazi wa PM wake.. Watu wengine kaa wamelaaniwa vile. Click to expand... Hahahaha na na pm anashangilia kisa kulinda madaraka! Jinga sana