Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Kama kichwa cha habari kinavyosema, angalia picha ambayo inaonesha eneo ambalo walishambuliwa ndugu zetu. Mchoro unaona umekaa kama nyoka huo ni mto. Sehemu waliyokaa ni pembe zote za dunia ni msitu mtupu jionee mwenyewe.
sijaelewa kituKama kichwa cha habari kinavyosema, angalia picha ambayo inaonesha eneo ambalo walishambuliwa ndugu zetu. Mchoro unaona umekaa kama nyoka huo ni mto. Sehemu waliyokaa ni pembe zote za dunia ni msitu mtupu jionee mwenyewe.
Mkuu unatumia sim ganisijaelewa kitu
ndugu zetu gani walioshambuliwaMkuu unatumia sim gani
Upo sayari ya ngapi mkuu.ndugu zetu gani walioshambuliwa
Hapo sawamisitu ya beni huko congo.
Hapo sawamisitu ya beni huko congo.
Nyumba ya shetani hiyoThe area is beautiful though. Macho yanapendezwa na rangi yake, tatizo yanayofanyika humo.