Sijui kamati ishatengewa fungu kutoka wizarani kwa ajili ya upembuzi yakinifu,
Kiswahili kirefu jamani kama barabara! Janja tu hamna kitu hapa!!!!!!!!!!!
hizo ni ndoto, ukitaka kujenga flyover ubungo inabidi ufumue stand ya mkoa, ubungo maji, stand ya daladala, power stations zote, tanesco kitu ambacho hakuna atakae kuelewa.
Not necessarily kuvunja hivyo vyote ulivyovisema. Kuna fly over rahisi na ambazo hazichukui nafasi kubwa kihivyo. Nenda Nairobi uone jinsi Wachina walivyofyatua fly overs bila kuvunja majengo mengi wala kuharibu miundo mbinu waliyoikuta!!!
serekali sikivu yenye maneno tuu na kupenda kupigiwa makofi... haitakaa itufikishe huko! hakuna mji hata mmoja wenye mpangilio mzuri chini ya sirikali sikivu! imeshazeeka tusitegemee kipya kutoka kwayo. Ifike mahali tufanye maamuzi magumu kama tunataka kusonga mbele kwa dhati...
Hata kwetu inawezekana ufisadi ukipungua kwa 50%. Maana sasa ni 100%.
Mabadiliko ndo kitakachotuokoa. Hawa CCM wanaoendesha nchi kwa mazoea hawatatupeleka popote...
Unaweza usiamini, lakini hiyo ndio Nairobi ya mwaka 2013...!!!
Piga picha ikifika mwaka 2020 Nairobi itakuwaje...???
Hapo Kenya haina utajiri wa gesi, dhahabu, tanzanite, almasi, na ardhi nzuri kama TZ...!!
Je wangekuwa navyo hivyo vyote ingekuwaje .....??
Tanzania tumelala fofofo....!!!!!
substitute yake unaweza kufumua tu wizara ya maji, majengo yake ni ya chini ili kuokoa usifumue tanesco na mitambo yao upande ule...then zikajengwa vizuri tu.