Angalia hii utajua ulicho pata

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Eid Mubaraka,

je wew umepata kipi kati ya hivi?

​
29th July 2014 21:08 kabila.jpg
 

Attachments

  • kabila.jpg
    44.1 KB · Views: 2,086
ha haaa haaa majungu wahaya sio?
cc nyumba kubwa
wanyamwezi wanawake presha?
cc Kaunga ...
 
Last edited by a moderator:
Wakurya tumebadilika jamani uuwiii!!!hamwoni dada zenu wanavyotufagilia now days,tunawachapa na kuwaoa bila problem,na wanatupenda coz sisi ni wa kujiamini.
Ila kwa wasukuma true wana heshima ya ndani ila si waaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…