Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Mimi huwa nawashangaaa...watanganyika...unapoipigia kura CCM ambayo imekusababishia matatizo huwa unamkomoa nani....???
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.
Yaani mkuu hapo mwanzo nilipingana sana na suala la CHADEMA kumsimamisha LOWASA.......Lakini nilipoyafikiria yale mateso ya CCM kwa kipindi cha miaka kumi nikajikuta nafsi yangu inanisuta kuwa iinakuwaje mtu mwenye akili timamu uchague jambo lenye madhara kwako.....nikajikuta nimeamua kuwa hata likiwekwa jiwe dhidi ya CCM basi mimi nitalipigia jiwe......maana zile kauli vijisenti na hela za mboga tu.........bado zinauchoma sana moyo na tiba pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa gharama yoyote ile......kwa kifupi sitakuwa tayari kuongozwa na CCM kwa kipindi kijacho cha miaka mitano.....Ccm imewekeza kwenye ujinga wa watu, wanaishabikia kama ngoma au hata mpira bila kuangalia kwamba ni kuamua juu ya mustakbali ya maisha ya watu.
Hebu fikiria wabunge hawa wanaoudhi kwa kura zako za NDIOOOO bila hata kutafakari, kisa tu jambo limependekezwa na serikali, halafu MTU uwashabikie eti mi ccm damu !!? AJABU !!!
Yaani mkuu hapo mwanzo nilipingana sana na suala la CHADEMA kumsimamisha LOWASA.......Lakini nilipoyafikiria yale mateso ya CCM kwa kipindi cha miaka kumi nikajikuta nafsi yangu inanisuta kuwa iinakuwaje mtu mwenye akili timamu uchague jambo lenye madhara kwako.....nikajikuta nimeamua kuwa hata likiwekwa jiwe dhidi ya CCM basi mimi nitalipigia jiwe......maana zile kauli vijisenti na hela za mboga tu.........bado zinauchoma sana moyo na tiba pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa gharama yoyote ile......kwa kifupi sitakuwa tayari kuongozwa na CCM kwa kipindi kijacho cha miaka mitano.....
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.
Kwani Kinana na Bashe majangili yaliyokubuhu yamehamia lini chadema?
mimi nadhani inafaa iitwe GAME HUNTING FOR TROPHIES, yaani uwindaji wanyama kwa ajili ya kupata nyara. umeona eeh?
BTW, uwindaji wa kijangili ni matunda ya CCM. suluhisho lake ni kuiondoa CCM mamlakani ili kuondoa tatizo hilo.
Usiite tunda. Tunda ni kitu kinachoashiria mafanikio au mambo mema.
wakati huo mlinzi wa hao tembo akiwa yupo usingizini so the only way we can handle situation is to kick out mlinzi-ccm government after that ndo tuweke watu wa kushughulika na hao majangili.chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.
chadema wanapokea majangili ndio wanaotumalizia tembo wetu.
Kinana lazima anyongwe kwa hili...
mim kwa sasa nimenunua solex kubwa,naona ktk familia yangu kuna wa2 wanachelewesha mageuz,tar 25 oct nawafungia ndani