wakati layout ya JF inabadilishwa nilionyesha waziwazi kutokubaliana na layout mpya waliyoiweka,lakini watu wakasema oooh unajua hii ni mpya ohh utaizoea tuu oooh unajua mambo meengi tuuu lakini tokea wakati huo mpaka leo sijaikubali hata kidogo....
ila kiukweli hii ya leo nimeiona inaridhisha kidogo na kama wataimodify zaidi nadhani nitaanza tena kuwa interested na active kwasababu ya layout hii.....
nawakilisha tu wadau.......ni mawazo tu.