NASA na ISISwanahuianaje?Bila shaka ulipoandika NASA umekusudia ISS. Maswali yako ni mazuri, bila shaka wataalamu wa mambo haya watakujibu. Nikipata muda nitakupa dondoo kwa kile kidogo ninachojua.
Ilikua ni project ya mataifa kadhaa kipindi ncho rais wa marekan mnyama ronald reagan alitoa wazo la kuwa na satellite huko angani bunge likakubali.Yeah,Nani alikijenga hiki kituo na ni nani haswa anaeruhusiwa kutua hapa kwenye hiyo station?
Ahsante kwa maelezo mazuri....!!Ambao hawakuwepo kwenye huo mpango wakati ISS inaanzishwa kama China na India wao wakipeleka vyombo vyao huko wanawalipa hao walioanzisha au wanapeleka kwa utaratibu upi?Ilikua ni project ya mataifa kadhaa kipindi ncho rais wa marekan mnyama ronald reagan alitoa wazo la kuwa na satellite huko angani bunge likakubali.
-Mataifa kadhaa kama japan, german, russia, marekan wenyewe n.k wakafanya hiyo proect.
-Mnamo 1998 walirusha vyombo vya hiyo satellite kwa rocket na mpango ukakamilika.
-Inaitwa iternational space station (ISS).
-Huko wachunguzu wapo huko na maisha yanaendelea kama kawa, Tafit mbali mbali zinafanyika.
Mkuu kutengeneza hizo satellite sio kitu kidogo, ni gharama sana.Ahsante kwa maelezo mazuri....!!Ambao hawakuwepo kwenye huo mpango wakati ISS inaanzishwa kama China na India wao wakipeleka vyombo vyao huko wanawalipa hao walioanzisha au wanapeleka kwa utaratibu upi?
-Nisaidie pia kujua Deep space ni nini hasa?