Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania azungumzia mambo mazito yakiwemo umuhimu wa Vyombo huru vya habari, uchaguzi ni kipimo cha uongozi ..
View: https://m.youtube.com/watch?v=N8LT3kmJJmk
AZAM TV wamlitembelea kaimu balozi Andy Lentz na kubadilishana mawazo kuhusu umuhimu wa vyombo vya habari, na vyombo hivyo pamoja na waandishi wake kulindwa.
Mazungumzo hayo kabla ya uchaguzi kaimu balozi alielezea matumaini yake uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, ingawa kaimu balozi alitoa angalizo kuwa kuna historia ya vurugu ktk chaguzi
Watalii wapatao 35,000 kutoka Marekani hutembelea Zanzibar na watalii wao ni miongoni mwa watalii wanaotumia pesa nyingi kama watalii kuliko wengine kutoka nchi zinazoleta watalii wengi Tanzania
Upande wa uwekezaji pia katika maeneo mbalimbali kama Zanzibar, Kilimanjaro na Arusha nilitembelea maeneo hayo na kuonana na makampuni ya Kimarekani yanavyofanya biashara na uwekezaji
Kuhusu taarifa zisizo sahihi (misinformation) na kampeni za taarifa potovu (disinformation) ni changamoto. Hivyo walaji wa habari ikuwemo taarifa za mchakato mzima wa uchaguzi wanategemea taarifa sahihi, taarifa za ukweli, taarifa za kiuchunguzi kutoka vyanzo sahihi kutoka vyombo vya habari ikiwemo vya Tanzania kaimu balozi Andy Lentz anakazia
Kuhusu misaada mbalimbali ya Marekani kupitia kodi za raia wake kwa Tanzania ni vizuri serikali mbili kufanya kazi kwa pamoja kama wadau wanaokubaliana kufanya kazi katika namna inayokubalika kwa pande zote mbili yaani Tanzania na Marekani
Kuhusu machafuko yanayotokea duniani swali alilotupiwa kaimu balozi wa Marekani, kaimu balozi wa Marekani anasema inajihusisha sana kuwezesha pande zinazohusika kuwezesha machafuko, vita na madhila yake yakiisha. Marekani tupo ktk mkakati wa kuwezesha pande zinazohusika iwe Gaza, Mashariki ya Congo, Vita ya Ukraine na Russia kuweza kumaliza vita au machafuko.
Kaimu balozi anaongeza katika machafuko kuna pande mbalimbali zinazochochea hali hiyo ikiwemo serikali na magenge yasiyo ya kiserikali (non State actors) ambavyo huchangia hali ya machafuko, vita na mauaji.