Androids Vs Apple products

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,840
Reaction score
101,698
Iko wazi Apple Inc wamiliki wa Apple, iPad, iPod, iMac, Macintosh, iTunes etc wana bifu la kibiashara na Android wamiliki wa Ideos, Android Tablets, Android smart phones etc ambalo ni kampuni changa, na ikumbukwe awa Android wanamkono mkubwa wa Google.
dah ukifuatilia huu ugomvi unaweza ishia kucheka.
Ila its clear kua Apple Inc runs the show!
 
Mpaka ulipoeleza Kampuni ya Apple bado ipo juu zaidi ya hiyo kampuni changa ya androidi Smart phones, unafananisha wewe mbuzi na chui wanaweza kuwa sawa Mkuu?
 
Google OS Android ndio kila kitu .... nunua Android OS simu yotote suamsung galaxy au HTC " Root it " explore dunia ya tech at its best!!










​
 
Ambao hawataki kuelewa kwanini apple wapo juu hebu angalieni lunch ya ipad 3 yani hakuna improvement yoyote zaidi ya screen resolution na watu wanaikubali wanasubiria kwenye mistari. Sijawahi kuona imetokea hii kwa crapy copy cat galaxy tab


hapo chini ndo hali yenyewe mteja akiwa anaingia kwenye store yani mteja mfalme full shangwe



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…