Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android


ok nimekupata naogopa ku install os nyingine ngja niiache tu hii hii
 
best android app kwa sms ni
[h=3]Handcent SMS[/h]
hii unaweka hadi password ... mtu hafungui sms bila password ...

100% customization ...

me nadhani ni best!

Handcent
 
kuna app nilidownload kwenye playstore nilitaka kuhide some of my apps ila iliniambia kwanza ni root apps kwanza ndio iweze kufanya kazi, haya wadau chief, c6, R what is rootin in android?

jamaa kakujibu tayari
 
men! torents mpaka kwaenye simuuuuuu?? hyo mbona mzuka sanaa

u-torrent beta ipo kwenye play store, free to download, movie, games, apps, wewe tu
 
u-torrent beta ipo kwenye play store, free to download, movie, games, apps, wewe tu
Ukipata pia t torrent na pirate bay for moviesvn music is perfect has every new movie or series in store
 
mi na-enjoy sana na dolphin browser cz inaruhusu multiple tasks km downloads hv unlike opera ambayo ukianza kudownload kitu mpk kiishe ndo unaanza kitu kingine..
Apps nyingine kali ni

Go Chat,nzuri sana,kuliko hata Nimbuzz
Mobo Player-iko powa sana
Maps-
OfficeSuite
 
Kwa wale ambao wanapenda application lkn za kulipia, install 4shared ktk simu yako via play store alafu search application unayoitaka hapo utaipata bure kabisa na latest version

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Link2SD
Hii itakusaidia kuhamisha application toka internal storage to SD Card, kwa wale ambao internal memory ni ndogo, hapa rooting inahusika.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
I use Chrome for browsing,Flipboard,Google Currents,The Verge,Engadget,Pulse,Instapaper,Wattpad,Aldiko Reader for all my reading. Instagram,Thumb,FB,Twitter for my daily social activities,Titanium Backup<(a must have for rooted users),Keep safe,QuickPic,MxPlayer,Ttorrent,VLC, etc...few of a games i have MC3:Fallen Nation,NOVA 3,ASPHALT 7,Dead Trigger,Shadow Gun,Rayman Jungle,Temple Run,Angry Birds Space...Runing CM10 Nightlies.
 
Link2SD
Hii itakusaidia kuhamisha application toka internal storage to SD Card, kwa wale ambao internal memory ni ndogo, hapa rooting inahusika.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2

natumia sansung gt s5570 nifanyaje ili niipate tapatalk....thx
 
natumia sansung gt s5570 nifanyaje ili niipate tapatalk....thx

Ingia playstore download 4shared alafu search hiyo kupitia 4shared utapata free kabisa na kuna application nyingi ambazo zinauzwa humo zipo bure. Wewe andika 'tapatalk apk' au andika application yoyote ikiishia na apk mwisho.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
jamani kuna app moja iko kwenye samsung imeandikwa memo inakuwa kama diary hivi, naitafuta sana kama mnajua jina mbadala au app kama hiyo maana nimetafuta google, playstore hakuna kitu, cc leh, MziziMkavu, e2themiza, nyasiro, chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Tapatalk 2 ni nn hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…