ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Kwenye iOS always first sio kweli ungesema most of the time first kw mfano FB Home itaanza na Android kwnza na haijajulikana lini wata implement kwenye iOS ila nakubaliana na ww iOS wako more lenient hasa kwenye upgrades i happen to use iphone 4s haikuwa na complications kbsa kwenye upgrades ila nw natumia galaxy young kwnza sio kila upgrade unaweza kuidownload halaf mfano some inovations mfano iyo FB Home ni mpka uwe na Android 4.1 na kuendelea. Android wako kwenye smart device nying ndo mana wanagain wide popularity sna na nying ni rahisi kuzipata km hizi galaxy young unlike zile za apple ambazo majority zinaonekana km expensive so kw market use android ina wide users weng kuliko iOS lakin still iOS wako vzur zaid though as u said mwisho wa siku inategemea na uelewa na aina ya matumizi ya device yako ndio yanayo determine which OS suits u..
Apple hawataruhusu iOS kuvalishwa nguo kama mtu aliyekuwa utupu. Hicho ndicho kitakachofanyika kwenye Androidna hii Home ya Facebook. Na huu ndio ugonjwa walioambukizwa watumiaji wa Android kudhani kuwa ni jambo zuri, na hii ndio sehemu ya kile kinachoitwa customisation. Swali ni nani atakayekubali kui-ditch TouchWiz ili avalishe Home kwenye Samsung S3 au S4 yake? au nani ataivua HTC One yake Sense 5.0 na Blink Feed halafu aweke home? Haya ndio mambo tunayoyaita toying (customisation) ambapo hayana maana yoyote. Ukweli ni kwamba si kila customisation ni nzuri au ina matumizi ya maana, to be precise nyingi kati ya customisation ni "TOYING", hakuna meaningful intergration inayofanyika.
Lakini Android users were brainwashed to believe ni jambo kubwa sana tena zuri. They think its freedom! Yes it is, lakini kuna mess kubao kwenye freedom hii. Although as well kuna mazuri mengi tu. Hii freedom ndio iliyosababisha nyingi kati ya apps laki 7 za Android kuwa hazina quality wala standard, leo wewe hata ukiandika app yako ya mistari miwili kwenye Android ukii-submit kwenyo iko kwenye store. Apple ukipeleka app ya kipuuzi wanakurudishia mwenyewe.
Wakati hili ni jipya kwenye Android, iOS imeshafanya meaningful intergration ya Facebook na Twitter kwenye settings siku nyingi sana. hii ni deep intergration inayoruhusu simu yako kufanya mambo muhimu na sio kuipamba, mfano contact zako za facebook zinaingia kwenye simu kama contact za kawaida kwenye app ya contact.
unaweza ku-update tweets na post kwenye facebook kwa kutumia information centre bila ya kufungua app na pia intergration ipo kwenye mambo mengi sana tayari ikiwa ni pamoja na kalenda na apps nyingine.
Sasa hili ni jipya kwa watumiaji wa Android lakini si jipya kwenye iOS, ingawa implementation imetofautiana. Na ukweli ni kwamba i see great failure katika hili hasa ukizingatia kwamba Home screens na Launchers zipo nyingi na nzuri hivyo ni wachache tu watatumia launcher na Facebook (Home) ambao ni facebook addicts, tena wengi watai-ditch baada ya muda mfupi tu, huwezi kufanya Facebook ndio jambo kuu katika simu yako, simu ina matumizi mengi muhimu na mazuri na kuifanya itawaliwe na Facebook sidhani kama ni muelekeo sahihi.


