Nimeshatumia zote ... anavyosema Chief ni sawa. iOS na Android tofauti yake ni security. Androids zipo susceptble to malwares, unaweza kudownload cheap/low budget apps na pia unaweza kudownload bongo fleva.Sometimes u have to lay low and learn from others .... Hapa tunazungumzia real iOS and Android experience na sio what you memorized from blogs or techwebsites....
Kama hujawahi kutumia Android or iOS seatback and learn from others... Don't act like a moderator Chief...... Subiri thread ya dwarf Nokia or dead Symbian (RIP)....
sikujua kama unanichukia hivi ila mimi sipendi personal attack twende kwenye fact ya nilichoongea nicrtisize kwa maneno yanguSometimes u have to lay low and learn from others .... Hapa tunazungumzia real iOS and Android experience na sio what you memorized from blogs or techwebsites....
Kama hujawahi kutumia Android or iOS seatback and learn from others... Don't act like a moderator Chief...... Subiri thread ya dwarf Nokia or dead Symbian (RIP)....
Classic fallacy! Hivi unajua maana ya open source? Android inampa user uwezo wa kuitumia simu yake aa he/she wish.....
Nini maana ya customization? Android is open for free modification by either phone manufacturer or a developer, ndio maana kuna HTC sense, Xiaomi Flyme na nyingine kutoka kwa manufacturer wa simu(Android Coats).... Kutoka kwa developers kuna CyanogenMod ya the Steve Kondik ...... Kwa hiyo Android is consumer oriented bro..... na siyo kwa ajili ya kuchezea (It is not Raspberry P) Zingekua za kuchezea kusingekua na flagships zinazo-run Android ...
Dh! hili jukwaa ni juzi tu kuna mdau mmoja alitoka kulisifia kuwa wadau wake wengi ni wastaarabu, lakini naona watu wanataka kuligeuza kama jukwaa la mipasho la siasa kule au ndo limevamiwa?
HAMNA MKUU WATU WANELEKEZANA TU KAWAIDA,kupishana mawazo kwenye jambo ni kawaida.alafu kikubwa wote waelewa so hakuna kinachoharibikaDh! hili jukwaa ni juzi tu kuna mdau mmoja alitoka kulisifia kuwa wadau wake wengi ni wastaarabu, lakini naona watu wanataka kuligeuza kama jukwaa la mipasho la siasa kule au ndo limevamiwa?
sikujua kama unanichukia hivi ila mimi sipendi personal attack twende kwenye fact ya nilichoongea nicrtisize kwa maneno yangu
kama nilivosema hapo juu enterprise vitu kama maofisi, na maeneo mengine ya kazi wanaikimbia android na hapa na back up maneno yangu.
android sasa hivi inakaribia 3/4 au zaidi ya simu zinazouzwa duniani kwa maana nyengine katika kila simu nne zinazouzwa tatu ni android. so tunge expect hata kwenye enterprise mambo yawe same lakini tukienda huko things go different.
angalia marketshare ya enterprise mpaka nafasi ya 6 ndo inamkuta galaxy s3 yani inamaana mwezi wa 10 hadi wa 12 mwaka jana even iphone 4 simu ya zamani kabisa imempita galaxy s3. so mkuu bado unabisha?
so kwa akili yako galaxy s3 imeuza karibu copy milion 30 wakati iphone 4 sidhan hata kama imefikia copy milion 5 lakini maofisin zipo iphone 4 nyingi ni nini sababu?
ukitaka kujua malware ni nini kaangalie movie ya brad pit inaitwa troy utajua pia why watu hawatumii android maofisini
Mbona hivyo vitu unaweza download tu kwa kutumia idownload na apps kibao tu zilizopo..mim natumia ios lakini naiona kama bile android inazingua maana inafanana sana na ios6 ingawa hiyo jelly bean siifaham labda tusikikizie ios 7 itakuaje au nimetoka nje ya mada wadau...over..!!!Nimeshatumia zote ... anavyosema Chief ni sawa. iOS na Android tofauti yake ni security. Androids zipo susceptble to malwares, unaweza kudownload cheap/low budget apps na pia unaweza kudownload bongo fleva.
Kwa nchi za marekani ya kaskazini, iOS ipo very popular kwa sababu wengi huku wanaitumia simu as it comes ... na kama ni music huwa wananunua from reliable sites (iTunes).
Lakini kama unataka simu yako iwe na album nzima ya sugu, vinega na diamond .... halafu na episodes zote za siri ya mtungi, then Android OS will be perfect for you.
lakini mkuu mi nahisi kinachomattter ni marketshare ya android inayoongezeka mwaka hadi mwaka kwa kasi mwaka 2011 na 2021 iliongezeka kwa 18% wakati apple ilirise 15% to 22.1%,lakini pia ujaji mpya wa simu za htc one na sony xperia z na jinsi kwa ninavyoona walivyojikita kuziadvertise bidhaa zao hope zitaendelea kumboost android kuongeza marketshare duniani,lakini pili kumbuka hii analysis ya market share unayoizungumzia ni ya last quarter ya 2012 ambayo apple i phone 5 ndiyo ilikuwa imetoka (october) lakini pia samsung galaxy s3 ilikuwa imeeanza kuzeeka na watu pia walikuwa wamehamishia concentration yao kwene window mobile phone especiall lumia920,so kwa jinsi ninavyoona mwaka huu bado marketshare ya android itaongezeka tena na kwa kasi hasa kwa kutokana na ujio xperia z,htc one,achilia mabali galaxy s 4sikujua kama unanichukia hivi ila mimi sipendi personal attack twende kwenye fact ya nilichoongea nicrtisize kwa maneno yangu
kama nilivosema hapo juu enterprise vitu kama maofisi, na maeneo mengine ya kazi wanaikimbia android na hapa na back up maneno yangu.
android sasa hivi inakaribia 3/4 au zaidi ya simu zinazouzwa duniani kwa maana nyengine katika kila simu nne zinazouzwa tatu ni android. so tunge expect hata kwenye enterprise mambo yawe same lakini tukienda huko things go different.
angalia marketshare ya enterprise mpaka nafasi ya 6 ndo inamkuta galaxy s3 yani inamaana mwezi wa 10 hadi wa 12 mwaka jana even iphone 4 simu ya zamani kabisa imempita galaxy s3. so mkuu bado unabisha?
so kwa akili yako galaxy s3 imeuza karibu copy milion 30 wakati iphone 4 sidhan hata kama imefikia copy milion 5 lakini maofisin zipo iphone 4 nyingi ni nini sababu?
ukitaka kujua malware ni nini kaangalie movie ya brad pit inaitwa troy utajua pia why watu hawatumii android maofisini
lakini mkuu mi nahisi kinachomattter ni marketshare ya android inayoongezeka mwaka hadi mwaka kwa kasi mwaka 2011 na 2021 iliongezeka kwa 18% wakati apple ilirise 15% to 22.1%,lakini pia ujaji mpya wa simu za htc one na sony xperia z na jinsi kwa ninavyoona walivyojikita kuziadvertise bidhaa zao hope zitaendelea kumboost android kuongeza marketshare duniani,lakini pili kumbuka hii analysis ya market share unayoizungumzia ni ya last quarter ya 2012 ambayo apple i phone 5 ndiyo ilikuwa imetoka (october) lakini pia samsung galaxy s3 ilikuwa imeeanza kuzeeka na watu pia walikuwa wamehamishia concentration yao kwene window mobile phone especiall lumia920,so kwa jinsi ninavyoona mwaka huu bado marketshare ya android itaongezeka tena na kwa kasi hasa kwa kutokana na ujio xperia z,htc one,achilia mabali galaxy s 4
source:Canalys: Android rules global smartphone market with 69% share
Unaweza Kuitoa TouchWizjelly bean ni bomba, kinachosumbua kwenye device za Samsung ni ile user interface ya touchwiz ina lag mara kwa mara..
Kinachohitajika sio kutumia bali kujua, na ujuzi (elimu) unapatikana ama kwa experience au kwa kusoma, mfano kuna mtu hapa inawezekana kabisa anatumia Android, halafu ametoa hoja kwamba Android ina apps nyingi, ni wazi kuwa huyu hajui.Umeshawahi kuitumia mkuu au unasema tu?
Android V iOS
Uzuri wa Android ni customisation aka toying with devices, hivyo kutumia Android ni fun, mara umebadili launcher na home screen, mara umebadili firmware, mara umeweka widget hii mara ile, mara live background n.k. Hivyo inasaidia kupoteza muda (kama una muda wa kuchezea) na kutoichoka simu au tablet yako. Huu ni ukweli usiopingika.
Lakini sura ya pili ya ukweli ni kwamba kama una shughuli za muhimu za kiofisi, biashara au masomo basi iOS ndio mpango mzima. Mbali na takwimu maridadi za chief-mkwawa wacha tupitie baadhi ya mambo muhimu ambayo Tong na wenzake wa CNet wameyaacha:
Mlinganyo wa Apps:
Ukiangalia hata like for like apps za kikazi au mambo muhimu utangundua iOS apps zake zina ufanisi mzuri. Mfano Compare iWorks (Pages, Numbers na Keynote), kisha weka intergration yake na iCloud kwa upande wa iOS halafu ulinganishe na Google Drive na apps zake za office au viji-app uchwara vya office vilivyotengenezwa na developers binafsi, ukilinganisha magazines na iOS na Android utagundua kuwa ukiwa na kazi muhimu basi Android si tablet wala simu ya kutumia.
Ujanja wa Akina Tong
Hawa kina Brian Tong nao wanalinganisha sijui Game Centre, Widget na mambo ya kipuuzi, wanaturusha steam tu. Kwa nini wakati wa Ecosystem kwa mfano wasilinganishe iBooks na Books (ya android)?, au ITunes University na nothing (kwenye ecosystem ya Google hakuna kitu similar iTunes University), iBook Author na nothing (again kwenye google hakuna). Hivyo ukiangalia kwa makini yaani kuna gap kubwa mno kati ya iOS na Android ecosystem. Kuna mambo kama vile ku-set location based reminder, iCloud Sharing kwa apps zaidi ya 12
Entertainment
Au kwa upande wa entertainment wangelinganisha iTunes (kama App) na kijiapp cha Play Music kwenye Android, au Play Movie na Video. Halafu ongeza seamless intergration na iTunes ya Computer. Pamoja na kuwa Google wamesha-copy na kutoa Google Play ya Computer lakini ukiitumia utajua ni cloud service tu na sio entertainment centre ya computer kama ilivyo iTunes. Kwa hiyo ukifanya mlingannyo wa aina hii utakuta kuwa Google bado sana kuifikia Android.
iOS is Always first
The killer point aliyitoa Brian Tong Mwenyewe ni kwamba App zote za Muhimu zinatangulia kwenye iOS, kwa hiyo Android ni watu wa kuchelewa chelewa. As I speak Summly kwa mfano imeishi hadi kufa (baada ya kununuliwa na Yahoo bila watu wa Android kuionja.
Android is till messed up
Halafu kinachoudhi zaidi kwenye Android app inaweza kuwa kwenye App store lakini haipo compatible na device yako. Nakumbuka BBC Olympic ambayo ilikuwepo kwenye Play Store watu wengi walishindwa kui-install kwa sababu ilikuwa unakubali kwenye divices chache mno. Upuuzi huu pia utatokea tena FAcebook watakapoingiza Home kwenye Play Store, ni device chini ya 8 ndizo wataweza kutumia Home. Waliobaki wakatafute makorokoroni au wabaki hawawezi kuitumia labda mpaka baada ya miezi kadhaa ianze kuroll out kidogo kidogo.
Second Mess!
Kuna device ngapi za Android zimeganda kwenye 2.1, 2.2 hadi Gingerbread, yaani ndio basi tena hakuna ku-upgrade tena. Wakati iOS Kuanzia iPhone 3GS mpaka - 5 zote zinatumia iOS 6 na iPad 2 mpaka iPad with Retina nazo zinatumia iOS 6. Yaani hebu vuta fikra as we speak watu wanaotumia Galaxy S3 hawawezi kuwa na uhakika wa kupata update ya Android 5 Key Lime Pie. Na hata kama watapata basi ni miezi sio chini ya minne baada ya kutoka kwake, by then hiyo KLP imeshapata update say 5.1 hivyo wao watabaki nyuma na 5.0 kama zilivyo nyuma sasa hivi simu nyingi tu za mwaka 2012 ambazo bado hazijapata Android Jelly Bean 2.2.2, ndio maana binafsi katika suala hili huonelea ni vyema kuchagua Nexus Devices, ambazo kwa upande mwengine zina udhaifu mkubwa.
App Enabled Accessories
Huu ndo mpango mzima kwa sasa. Treding iko kwenye app enabled accessories. Wacha vitu kama speakers, cases, docks n.k ambavyo vimepitwa na wakati. Kwenye app enabled Accessories unapata mambo muhimu kama vile kutumia simu yako kama kifaa cha kupima msukumo wa damu (BP), Nike Fuelband (kwa watu wa fitness ndio kifaa bora kuliko vyote) na vingine vya ku-enjoy maisha kama vile baby monitor, Elgato Eye TV, weighing scale (Samsung nao wamejitutumua ndio ya kwanza inatoka mwaka huu wakati kwenye iOS ina kama miaka miwili). Kwa hyo hapa napo utakuta Android bado kabisa.
I think Android is so messed up, there is so much to be cleaned up. Na CNET hawakuliangalia jambo hili kwa umakini sana. Mwisho kabisa sina maana kwamba kwenye Android hakuna zuri au lililobora kuliko iOS lakini lengo ilikuwa ni kudhihirisha kwamba Android bado ina udhaifu mwingi tu. Vile vile nakubaliana na baadhi ya hoja za akina Tong kwamba Apple wanahitaji kubadili baadhi ya mambo katika iOS.
At the end of the day; matumizi ya mtumiaji, kiwango cha ujuzi na aina ya shughuli anazofanya ndio muamuzi mzuri ni OS gani inamfaa zaidi.
duh mkuu umejaza tablet.kama chini ya kumi nakupa 9.8/10 coz umetoa mapungufu alafu chini umerecomend big up mkuuAndroid V iOS

Kwenye iOS always first sio kweli ungesema most of the time first kw mfano FB Home itaanza na Android kwnza na haijajulikana lini wata implement kwenye iOS ila nakubaliana na ww iOS wako more lenient hasa kwenye upgrades i happen to use iphone 4s haikuwa na complications kbsa kwenye upgrades ila nw natumia galaxy young kwnza sio kila upgrade unaweza kuidownload halaf mfano some inovations mfano iyo FB Home ni mpka uwe na Android 4.1 na kuendelea. Android wako kwenye smart device nying ndo mana wanagain wide popularity sna na nying ni rahisi kuzipata km hizi galaxy young unlike zile za apple ambazo majority zinaonekana km expensive so kw market use android ina wide users weng kuliko iOS lakin still iOS wako vzur zaid though as u said mwisho wa siku inategemea na uelewa na aina ya matumizi ya device yako ndio yanayo determine which OS suits u..
naamini ipo siku utakuja kufuta hii kauli yakolol ule upuuz wa fb home hutaukuta hata sku moja kwenye ios, unafkiri apple anataka mambo hayo?