Android: Hivi hakuna simu yenye Qkeybody than Vkeybody?

Android: Hivi hakuna simu yenye Qkeybody than Vkeybody?

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
habari wadau?,
swali langu ni hilo tu, maana naona kila simu yenye OS Android ni touch screen. Mnijuze hivi hakuna aina ya simu yenye OS ya Android af ikiwa na keyboard ya kawaida?
 
Mkuu zipo nyingi tu ambazo wewe utaamua
touch ama hiyo ya zamani uliyoizoea.
 
habari wadau?,
swali langu ni hilo tu, maana naona kila simu yenye OS Android ni touch screen. Mnijuze hivi hakuna aina ya simu yenye OS ya Android af ikiwa na keybody ya kawaida?

mkuu, kwani una matatizo gani na touch?
 
mkuu, kwani una matatizo gani na touch?

kwa watu wa whatsap screen ndogo ni majanga ndo upate kipocket cha 2.8 inch inaeza kukufanya kichaa.

na inakua ngumu kwa mtu anaetoka feature phone moja kwa moja kumiliki simu highend/yenye kioo kikubwa sababu ya bei
 
physical keyboard controls the user, touch keyboard is controlled by the user...., sometimes u don't need a keyboard ie when watching videos, reading, surfing etc.... ndo maana technolojia imehamia kwenye touch screen.. very convenient if u need it it comes up, and if u dont need it , it hides !!!
 
mbona kuna za slide? point yako ni kama simu zote ni kama za bb
 
mbona kuna za slide? point yako ni kama simu zote ni kama za bb

haaa haa duuuh , i didint mean that,, weka jina la hiyo cm utajua nachokongelea.. sijaona current smartphone ya maana ambayo ni slide,, labda za zamani au kwa ajiri ya lower end users ambazo nyingi zinatumia java na kwa mbaali symbian ,,, but the world is heading to screen touch (revolutionary user interface)...!!,, by the way why do u need physical buttons while u can utilize the same space for bigger screen with a touch kyboard.... "hii concept ya ali popularize steve jobs mwaka 2007 wakati ana introduce iphone na tangia hapo keyboard zimekuwa zikifa pole pole, ...
Capture.PNG
 
duuuh weka jina la hiyo cm utajua nachokongelea.. sijaona current smartphone ya maana ambayo ni slide,, labda za zamani au kwa ajiri ya lower end users ambazo nyingi zinatumia java na kwa mbaali symbian ,,, but the world is heading to screen touch...!!

kaka kuna flip fone ya samsung inaitwa w2014 ina snapdragon 800 powerful sawasawa au kushinda android zote hio ndio processor latest. though sio qwerty ila ipo
rdn_52749b661ed40.jpg

kuhusu slide motorola anazo kibao latest
hii ni droid 5 itatoka soon, hii inamaana still kampuni zinatengeneza
droid5leak_large_extra_large.jpg

kuna droid 4 ipo mda tu
droid4-official4.jpg

lg nao hawapo nyuma
Sprint_LG_Mach_Phone.pt05_lg.jpg
 
ila unaweza kuona kwamba zipo chache sana na ukiangalia units produced ya hizo cm tegemea kukuta chache sana ,, thats marketing coz kuna baadhi ya customers wachache ambao ni wagum kukubaliana na changes, so hizo zinaweza kuwa kwa ajiri yao... ila ukiangalia kwa suala zima la ukuaji wa teknolojia, screen touch is taking over tena kwa speed kubwa.... flagship zote zinazo market simu za makampuni makubwa yote kuanzia apple, samsung, HTC, nokia ni screen touch (jiulize kwa nini) ,,,, so for special cases wanaweza kuwa na physical keyboard but dont expect it to be given first priority sababu ikiwa ni "OUTDATED!!!,, angalia hata OS kama windows ambayo inatumika sana dunian kuliko OS zote, wana winows 8 ambayo inafanya kazi pia kwenye desktop lakini ukichunguza vizuri,utakuta inafanya kazi kwa wepesi zaidi kwenye screen touch, and thats where the world is heading brother
 
da!, wakuu mmenifunua sana.. Shukrani kwa kunijuza. Kazi kwangu sasa.
 
Back
Top Bottom