Android Devices zote sasa kupata Nokia's HERE Maps

Pancras Suday

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
8,143
Reaction score
3,848
Hatimaye kampuni ya Nokia waachia rasimi ramani zao za HERE maps kwa ajili ya vifaa vyote vya Android, ingawa awali ramani hizi zilikuwa zikitumiwa na Samsung Android devices pekee kwa makubaliano maalumu na Nokia kwa sasa zitapatikana kwa vifaa vyote vya Android.

Ingawa ramani hizi zipo kwenye majaribio kutokana na tatizo la kufutika kwa sauti zilizorekodiwa baada ya ya kufuta caches, HERE maps zinaaminika itakuwa ni mbadala wa ramani za Google hasa kwa kuwa na sifa ya offline (kutumia ramani bila data).

Kwa wale wenzangu na mimi wasiopenda kupitwa na vitu unaweza kupakua APK file beta version kupitia hapa HERE for Android beta | HERE
 
Ko hain kingne zaid ya hiyo feature ya offline,??
 
Microsoft wanazidi kujiua. Windows OS haitakuja kukua. Wote tunajua Nokia Lumia zilichukua about 90% ya all Windows OS smartphone. Features za kipekee kama Microsoft Office, Here Maps etc kwenye hii OS ndio zilikua nazo zinachochea.
Kuna wale Loyal Fans, wakiona tu brand NOKIA, wana define as -Durability- bila kujiuliza mara tatu wananunua.

Sasa Microsoft na huyo S. Elop wao kujifanya wanajua, kuruhusu hizi unique apps zisambae ndio wanaendeleza kujiua

Ila wameshajiua kwa kutaka kufuta brand ya Nokia kwenye device za Lumia. Eti waanze kuiita "Microsoft Lumia". Fans wa Nokia watajua kama hii ni aina mpya ya simu, toka China, hawata nunua kamwe.

cc chief-mkwawa njoo mtetee Elop.
 
Last edited by a moderator:

HERE maps haijanunuliwa na Microsoft imebaki Nokia.
 

kama alivyokujibu kang here inamilikiwa na nokia na sio ms. ms wamenunua wafanyakazi, viwanda, na kulicence patents. wamenunua neno lumia na os za nokia za s40, s30.

nokia anamiliki patents bado hivyo hata kesho ukiskia samsung katoa galaxy s6 yenye pureview camera usishangae
 
Last edited by a moderator:

jamaa kanielewa vibaya. nilichomaanisha hizo apps, here maps na ms. office kupatikana android ni kuzidi kujichimbia kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…