1. If you have just started Android Programming, check out "Android for Dummies"
2. If you are familiar with Android then check out "Professional" Versions.
3. If you want to make Games then check "Games and Graphic Programming"
4. If you want to learn Android from Core then check "Embedded Android"
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS
Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS
Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...
Hivi hapa Bongo kuna mtu kamake ata custom ROM yoyote au tumewaachia XDA TGS
Au kwakuwa mtu apati hela ndo maana hakuna...
Custom Rom wala sio shida kutengeneza... Sema tu tuna lack resources... mie nimetengeneza custom rom kabisaaa kutoka kwenye stom rom ya simu yangu na inafanya kazi vizuri nilisoma guide xda nikaset vitu vinavyohitajika na nikatengeneza.
kwenye customizations naona android ni windows ya simu...
weka screenshots tukupe like basi kijana
Katika nchi ambayo asilimia kubwa wanapenda bure na hata ikiwa free hawatoi donation huwa havitokei vitu vingi vikubwa. Ili tuweze inabidi mtu akianza kitu apate support!
Project nyingi za free (may be commercial) ziliishia kufa kwa kukosa support (ya watu au fedha).
so....:hungry:
usihofu...
ntaziweka tu ila sio sasa maybe later usiku
Muulize Invisible,Max au Mike ilichukua muda gani watu kuanza kuchangia. Kama wasingevumilia miaka yote JF ingekuwa historia, trust me! Huo utamaduni hatuna. Huwa tunachangia project ambayo tayari iko mbali. Na hapa sio fedha pekee kuna project zinahitaji watu.Mbona Bongo tunaongoza kwa Donation....angalia JF Tanzanite members,JF Gold Members ni wangapi na wametoa sh ngapi maani hizo title ziimeanishwa wazi...
Nyasiro kaweka hiyo option nina mashaka kama hata elfu 50 zimefika. Kwa sehemu nyingine watu wenye connection wangemsaidia apate dili ya TUKI au kutengenezea mashule. Lakini wapi! Sasa kama hii haijapata support unataka niingie huko? Kasuku MP ilikufa kwa sababu developers wa C++ (ambao wako wengi ti humu) waligoma kutoa muda wao.vwewe just develop kitu afu weka Option ya donation...weka namba ya Mpesa,Tigopesa,Airtelmoney uone response ya watu....More so hapa JF
Ni kama last time Nyasiro kaja na Dictionary lkn hajaweka option ya Donation wala nn(sijui anaona aibu) na imani watu wangechangia Believe me or not
weka screenshots tukupe like basi kijana
Usiku umeshafika haya weka sasa
Upload mkuu
njunwa wamavoko watanzania hatuna hatuna nature ya kusapoti watu wanaofanya vyema. Umesikia wasanii kibao. Hii jf unayosema angalia ratio ya hao premium members na active members. Wewe tu ungekuwa premium maana nna hakika biashara ya vpn imekulipa zaidi 30k.
Wabongo ni watu wa maneno meeengi kukusifia we mkali ila when comes to kutoa ni ishu...
Mfano soma Thread ya Mkuu Nyasiro https://www.jamiiforums.com/tech-ga...roducing-ese-dictionary-%96-%93kamusi%94.html..................
Taratibu tutafika tena ngoja nimention jina lake kabisa huyu Nyasiro ili siku nyingine aone umuhimu wa hili iwapo aikilete software nyingine au iwapo ataleta version mpya ya hiyo ESE Dictionary
Now wewe na wengine ambao mlikuwa hamjui, do the needfulNOTE 4: Kamusi hii ni ya BURE (Kuwa FREEWARE haimaanishi unaruhusiwa kumodify chochote kile au sehemu yoyote ile ya program hii, kama umeguswa na kazi hii usisite kutoa mchango wako kupitia M-PESA au Tigo-Pesa kupitia namba zilizopo kwenye kamusi kipengele cha donation.
Now wewe na wengine ambao mlikuwa hamjui, do the needful