hii nakumbuka kipindi cha nyuma kuna mtaalam aliwahi kuiweka humu ndani. nami niliwah itumia kwenye simu yangu ambayo ilikuja kupata mushkel ( rest in peace my phone) bahati mbaya nimelisahau jina la hiyo application ambayo kama ukiidownload unaweza itumia kwenye simu yako kudownload apps ambazo wanatuuzia ukazipata bure. mwenye kumbukumbu please tusaidiane. ningependa kumwalika pia
Chief-Mkwawa na wengineo ambayo kwa bhati mbaya siwakumbuki majina. ila huyu mkwawa tumekuwa tukiwasiliana mara nyingi sana.