Android appl kwa kuangalizia live match kwa smartphone

Android appl kwa kuangalizia live match kwa smartphone

snayper

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
302
Reaction score
218
Habar za wkt huu wana JF,
naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, naomba msaada kwa anaejua Android appl nzuri kwa kuangalizia live match kwa kutumia simu ya Android, Ipi ni nzuri zaid?
 
tafuteni hizi ni nzuri kuliko mobdro,live nettv,Redbox TV,show sport TV.
 
Ipi ni nzuri zaid kati ya hizo maana kunazingine zina scrach sanaa hata gem hauangaliii kwa raha
 
Live nettv,kwanza haili bando unaangalia game dk90 mb hazizidi 300,angalia kwenye channel sehemu iliyoandikwa SD.
 
Kwenye live nettv bofya hapo juu kushoto kwenye vimistali vitatu halafu fungua sehemu iliyoandikwa live event hapo angalia juu kwenye tarehe,utapata mechi zote za siku hio pamoja na channel za kuangalia hio game na unafungulia hapo hapo na vilevile show sport TV inakuonyesha game za siku hio na channels za kufungulia na unaangalia hapohapo
 
Aisee wakuu naomben link ya kudownload app ya live nettv...maana bnafs nmeshindwa
 
Google livenettv haipo playstore
 
Back
Top Bottom