IT Student
Member
- Nov 22, 2021
- 31
- 40
Salamu,
Wakuu naomba kujua namna ya kupata templates au layout ya android app kwa ajili ya Blog yangu. Template au layout ninayoitafuta ni Ile iliyotumika kwenye app ya Mpekuzi, DJ mwanga n.k.
Nimeona hiyo layout imetumika kwenye apps za watu mbalimbali tena design yake ni hiyo hiyo kwa app zote zilizo na hiyo layout. Nimeipenda na sijui ninaipata vipi? Ina option ya kulink website na you tube channel.