Kutumiwa na watu wengi hakumaanishi kuwa ni bora.
Kutumiwa na watu wengi hakumaanishi kuwa ni bora.
Kumbe tuko pamoja mkuu...nilijua ni mimi mwenyewe ndo mpenzi wa Android.
Mpaka sasa hakuna simu bora ya samsung zaidi ya galax note II
Umetumia S4 mkuu?
mi nokia ina boa
Mpaka sasa hakuna simu bora ya samsung zaidi ya galax note II
Msaada kuuograde hii huawei impulse yangu ina android 2.3 kupata hiyo 4.3 msaada wadau
Umetumia S4 mkuu?
Bongo ni Sh.ngapi Mkuu?
swali zuri sanaUmetumia S4 mkuu?
uwe na milioni na laki 2 hadi 4 mkuu ukienda dukani! pia kila duka na bei yake pengine ukakuta zaidi.
We mjanja bana, kitu iOs ni noma smoothlyIOS yatoshaaaaa yani bhaaaaaaaas wengine ni makenge ndani ya safari ya mamba
kwa maana hii android 5 baadae sana kutoka,ila nimeshukuru wameongeza edition ya kiswahili kwenye hii 4.3 kidogo na sisi lugha yetu inapanda panda chati
mtoa mada kasema additional language support zilizoongezwa mojwapo ni swahili,i hope nw yale mambo ya kupigiwa mstari ukiwa unaandika neno la kiswahili as kwamba halitambuliki yatapungua kama sio kuondokaa kabisa.mkuuu ila sidhani Itakua Complete Kiswahili.... maana Kwa Kauzoef Nlikopata kwenye Ios Ukkieka kIswahili Knakua Aplied Kwenye Vtu Vdogo Vdogo Kama Kalenda... saa Na Dictionary Pia Emails Na baadhi Ya sehem... ila sehem Nyngne N English Kama Kawa ,,, Na Makosa Yao Kwenye Saa Ile Am Na Pm am N asubuh Af Pm Alasiri Kasheshe Lake Mpaka Saa 5 Usiku Inaandika Alasiri Huwa Nakereka sanaaa.... then Tusubir Tuone Kwanzaaaa....