watu wanalia ajira, afu mtu anashauri serikali isiajiri!
kweli ccm inatakiwa itoweke kwenye ramani za utawala wa nchi hii na mapema.
Chenge ndiye m/kiti wa kamati ya bajeti Bungeni. Leo ametoa pendekezo kuwa serikali isitishe kuajiri watumishi ili kupunguza matumizi ya serikali. Kimsingi nimeona ni kupotosha umma na kuonesha dhihaka kwa watz, wao wenyewe ndo wamebeba pesa zetu kwenye viroba na kupeleka Uswiss, kibaya zaidi amezidi kuhamasisha serkal kutoza kodi ya laini ya simu kwa sababu kamati yake ilibuni mbinu hiyo ya kuongeza kipato.
Jamani hv jamaa ana nn mbona anadharau sana wananchi? Simpendi km kapuya.
kweli ccm ni chama chakavu jamani serikali itakosaje kuajiri wkt kuna wastaafu,wanaokufa,wanaocha.n.k
sijui kwa nini watu hupenda kupotosha ukweli nimemsikiliza chenge hajasema hivyo rejea hansard za bunge mkuu.
Lakini ni sahih yeye kulipwa 420,000 kwa siku kama allowance hao ndo wawakilishi wa Ccm bungeniChenge ndiye m/kiti wa kamati ya bajeti Bungeni. Leo ametoa pendekezo kuwa serikali isitishe kuajiri watumishi ili kupunguza matumizi ya serikali. Kimsingi nimeona ni kupotosha umma na kuonesha dhihaka kwa watz, wao wenyewe ndo wamebeba pesa zetu kwenye viroba na kupeleka Uswiss, kibaya zaidi amezidi kuhamasisha serkal kutoza kodi ya laini ya simu kwa sababu kamati yake ilibuni mbinu hiyo ya kuongeza kipato.
Jamani hv jamaa ana nn mbona anadharau sana wananchi? Simpendi km kapuya.
Umepotosha ukweli,alitolewa ufafanuzi kwamba,kama matumizi yanaongezeka sababu ya kuajiri,basi serikali iainishe maeneo ya kipaumbele katika kuajiri,au namna nyingine ili kupunguza matumizi,sii sahihi kunukuu kipande cha taarifa na kukijengea hoja.