Hapa kinachoongelewa ni uwezo wa mtu kutenda jambo kwa ueledi wa hali juu liwe baya au zuri kwa jamii. Kitu ambacho kinaonekana kwa hali ya kawaida isingewezekana. Lakini Mtemi amedhihirisha inawezekana kucheza kwenye bwawa la tope ukiwa umevaa suti nyeupe au kanzu na kitoka bila tone la top kwenye nguo. Ni sawa na kivuka mto wenye mamba wengi kwa kuogelea!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.