Andrew Chenge amekwepa mishale Mingi, hii ya mchanga haimuumizi kichwa

Duh hilo si ndo lile joka la makengeza li ngosha boy, home boy au sio lenyewe
Mkuu vipi Leo post za Tundu lisu mbona sioni unaziandika kuhusu makinikia?
Wezi wakubwa nyinyi munaiba bila uruma Mungu anawaona yani ccm inaongoza kwa kutunza wezi
Kama munaweza mfungeni chenge na afilisiwe fedha alizoiba zinunuliwe madawa Mahospitalini acheni maneno wekeni muziki hahahah muziki Mumbavu.
 
We jamaa nakuona kama hujui hilo ni joka la makengeza

Lilisemaga lenyewe anco magu hajai kwenye kiganja cha lenyewe nawe wasema et tulifunge, tutaanzaje sasa kwa mfano

Huyo ndo mtem wa usukuman, mwamba wa kanda ya ziwa, mbabe wa vita

Hagusiki huyo
 
Hahahahaha Kamata mwizi wewe au kwa vile yupo ndani ya
System?
 
Uyo ndie Tycoon Chenge,hakuna wakumgusa hapa Tanzania.
Aisee kweli huyu jamaa mbabe ccm wote wameufyata leo wote wamenywea

sasa ndiyo nimeamini lowasa alijitolea mhanga ili mzee asiumbuke na kuto kuwepo jina la lowasa kwenye hiyo report nimeamini lowasa mweupe na roho yake nyeupe.
 
Hakushinda kesi mkuu alikuwa convicted alilipa fine
ndiyo kushinda kwenyewe huko kwa style !! - imagine ungekuwa wewe hivi ungepona? ile mashine ni hatari ila kwenye hili lazima ngoma inasemo.
 
Nyoka wa Makengeza amepofuliwa rasmi.
-aliponyoka timu magamba Mapacha watatu
2. akaponyoka Radar,
3. kaonekana mshauri wa IPL,
4. kasaini Ndege ya Rais na Mramba watanzania tukala nyasi,
5. Alionekana kivuli chake bungeni kwa imani za kiuchawi wakati wa kesi yake kaacha,
6.Kesi ya kugonga hakiwa hana leseni na gari halina insuarance karipa laki saba
7. alimtoa spika mzalendo akamweka Mpika mafisadi A.M
8. Alichukua kwanja mkubwa wa escrow kamati ya maadili ikashindwa kumhoji.
 
Joka la Makengeza hawezi kufia kwenye Mchanga kamwe.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Nasubiri nione kama awamu hii watafanikiwa kummaliza mzee mwenye akili kubwa... Yes,he is a genius.
Kupiga deals zote hizo kwa akili za kibashite ni ndoto.

Huyu jamaa yuko too smart,inawezekana alimsainisha mzee Mkapa document ya kukingwa na mashtaka yeyote yatakayopelekwa dhidi yake.
 
Mwanasheria mbobezi anayetambulika kimataifa,
Kama gamba lilishindwa kuvuka mnadhani kuna kitu watamfanya?
Kuna muda nacheka japo naumia ninapo mtafakari Chenge aliwaambia kina Nape gamba limefika kiunoni njooni na shoka..
Akamaliza hivyo swala la kuvua gamba.

Akatushangaa tuliposema ana hela visiwa vya Jersey akaishia kusema ni vijisenti na likamalizika hivyo..
Ishu ya Escrow pamoja na kuwa ni mtuhumiwa ila Zitto Kabwe alikubali kufuata pendekezo alilolitoa Chenge na mwishowe akasema yeye ni nyoka mwenye makengeza na anaangalia fursa anapeleka kwa wananchi yake ile tume ya maadili ikaishia kuwahoji kina Ngeleja lakini Chenge hakutia maguu.

Katiba ya Warioba ikatupiliwa mbali ikakubalika ya Chenge.
Majuzi kaibuka kusema tume ya madini ya kwanza ilimdanganya rais lakini wakati tume ya pili inawasilisha taarifa zake Chenge alikuwa amekalia kiti cha uenyekiti bungeni akiendelea na mambo yake.

Kwa hakika Chenge sijui ni mnyama wa aina gani.
 
Tanzania ukitaka kupiga dili kubwa na uendelee kuishi as nothing happened basi mshirikishe Chenge,huyu jamaa ni genius kwenye upigaji..pengine hata haliwazii hili la makinikia.
 
Heshma kwako mwanasheria nguli na mbunge machachari ndugu Chenge, niliona jinsi ulivyovuka vigingi kadhaa huko nyuma, nikaona ulivyovuka kile cha Escrow hapo ndo nikastaajabu sana, ikitokea ukavuka hiki cha mchanga hakuna kitakachoweza kukunasa tena.
Huwa sikuamini sana, lakini sikuelewi pia ndomaana nasubiri wakati uongee.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom