Andrew Chenge amekwepa mishale Mingi, hii ya mchanga haimuumizi kichwa

Anzisheni alianzishe. Magufuli mwenyewe kasema waitwe wahojiwe watoe ushirikiano. Kwa wengine si ingekuwa kamata weka ndani siku zisizohesabika? Mnamwita Lisu msaliti na ingekuwa jeshini angepigwa risasi, lakini huyu aliyeweka mkono kila mkataba aitwe, ahojiwe, atoe ushirikiano.
 
Moja ya kitu kilichonifanya nianze kuhoji juu ya uadilifu wa bunge letu hasa la hivi sasa ni pale walipoamua kumchagua kuwa Mwenyekiti wa bunge. Ccm walimchagua kwa kishindo pamoja na makandomakando yote.
Kuanzia hapo nikasema, kama kweli Mungu yupo, hawezi kumuacha shetani, Joka la makengeza akalie kiti na kuongoza bunge.
Niliona kama wamemchagua kama kumdhihaki Jpm na sio vinginevyo. Maana Wakati Rais anajulikana kuwa ana dhati ya moyoni kutaka kusimamia uadilifu, Bunge likaenda kutuwekea Kenge akalie kiti.
Joka la makengeza.
Kwa mazingira haya, hata wabunge wakipiga kelele (siku hizi wanaitana wapiga porojo) huwa nawashangaa ujasiri wanautoa wapi kama wanaweza kumuweka sheitwani akalie kiti kitakatifu. Mzee wa formulation.
Acha JPM anyoshe kila mahali, hata kama tutalala njaa,lakini lazima waliotufikisha hapa walambishwe ndimu na kiyakalia makali ya upanga.
 
Joka la kutisha na kukimbiza! Jamaa anaatamia hela had zinatoa uvundo ukimshangaa nae anakushangaa anakujib hivi vijisenti ww endelea na safari yako
Huyu Mzee si wa mchezo mchezo.

Anatuumiza ila tunaishia kucheka tu.
 
huyu sijui kama watafanikiwa kumfunga. maana kwa sasa ni mwenyekiti wa bunge pale bungeni. ccm walipaswa kumpokonya kadi ya chama.
 
Tatizo wabunge wetu wanafanya maamuzi kwa kukomoana wao wanajua wanakomoana upinzani v/s tawala kumbe wanaoumia ni wananchi huku chini.

Sometimes huwa natamani bunge lifutwa tu maana ni wapuuzi fulani hivi.

Moja ya kitu kilichonifanya nianze kuhoji juu ya uadilifu wa bunge letu hasa la hivi sasa ni pale walipoamua kumchagua kuwa Mwenyekiti wa bunge. Ccm walimchagua kwa kishindo pamoja na makandomakando yote.
Kuanzia hapo nikasema, kama kweli Mungu yupo, hawezi kumuacha shetani, Joka la makengeza akalie kiti na kuongoza bunge.
Niliona kama wamemchagua kama kumdhihaki Jpm na sio vinginevyo. Maana Wakati Rais anajulikana kuwa ana dhati ya moyoni kutaka kusimamia uadilifu, Bunge likaenda kutuwekea Kenge akalie kiti.
Joka la makengeza.
Kwa mazingira haya, hata wabunge wakipiga kelele (siku hizi wanaitana wapiga porojo) huwa nawashangaa ujasiri wanautoa wapi kama wanaweza kumuweka sheitwani akalie kiti kitakatifu. Mzee wa formulation.
Acha JPM anyoshe kila mahali, hata kama tutalala njaa,lakini lazima waliotufikisha hapa walambishwe ndimu na kiyakalia makali ya upanga.
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
Namwamini sana Chenge na hata siku moja hajawahi kuniangusha hasa pale anapopambana na wale wasiojua sheria na amini pia katika hili hatoniangusha
 
Kaiba kisheria ni kazi san kumnasa nyoga wa makengenza na pia ni kazi san kumnyonga nyoka
 
Masikini Chenge, hapo nyuma alijitapa kuwa yeye ni nyoka wa Makengeza mska pesa, lakini hii leo imedhihirika kwamba zilikuwa mbwembwe tu.

Kaishiwa maneno, anawayawaya, amekuwa kama mtoto mdogo, machozi yanaingia tumboni. Akosa la kusema.

Namuonea huruma sana huyu babu.
Kakwepa mishale mingi ila hii kakamatika.

1. Aligonga huko masaki Dar es Salaam akashinda kesi.

2. Alifyatua bastola kuwatishia wanachadema kwenye mkutano wao wa hadahara akashindwa kesi na akalipa elfu mbili.

3. Alichakachua katiba ya warioba tukamuangalia tu.

Sasa nasubiri nione atakavyokwepa hili, ndo ntaamini kweli ninyoka wa Makengeza msaka pesa.

Ila Wanaccm wameila hii nchi vya kutosha.

Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji baada ya kutajwa na kamati ya 2 ya makinikia.
bceed8b51bac8681866f5df7ff7c6aad.jpg
Aaliwagonga wake wanawake 2 kwenye bajaji, hadi mmoja akaitwa na Israeli...akashinda kesi
 
Back
Top Bottom