Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Mie nimefurahia tu na kupiga makofi. kui hawezi kutia neno ataishia kutabasamu tu. Ndiyo sababu nikaamua kuuchuna tu maana nilichokiona mimi yeye labda asingeweza kukiona. Si unajua binadamu tunaweza kuangalia kitu kile kile mwingine akakwambia hiki rangi yake ni hii na mwingine akasema rangi yake ni tofauti kabisa.

Hehe kwa hiyo ndo ushatuunganisha?

BAK Umeanza lini huo upambe jamani? Nakusemea kwa kui. Sasa ungem-pm nini yule mpendwa? Lol
 
Yeah sure. Unachokiona mwingine anaweza asikione kabisa. kui atakununia coz anampenda mno shem wake
 
Duuuh naona unampango wa kunyanyua mtu....komaa mzee pamoja sana...
 
Amen
Thank you Lord for this blessed assurance and for everything and
for families., relatives and friends and Lord Thank you for enemies, work in our hearts to be friends through the Love of Christ in Jesus
Name Amen.
 
Mawazo yangu yakanipeleka kwamba kuna mtu amekutumia PM hayo maneno kwenye uzi, sasa wewe umeyapenda kwa kuappreciate ukaona bora utushirikishe na sisi tuone tuchangie na ikiwezekana tukupe pongezi

=>ghafla nakutana na post ya bonny
Haha haki. Me nilijua mtu ananisema naandikaga sana magazeti. Sasa ile naona avatar nikabaki sielewi, najiuliza mbona sijaanzisha uzi haha mwee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…