Andika insha kuhusu UMUHIMU WA MAJI

Mtoto wa Mkulima

JF-Expert Member
Apr 12, 2007
681
126
pale Mkikuyu alipoambiwa aandike insha.

Anndika insha kuhusu UMUHIMU WA MAJI .
MBOGO ANDIKIRE INSHA YAKE UU:
Siku moja ng'ombe setu silikuwa simenyota sana.
Babangu aliniabia nisitware sikanywe maji.
Silipofika, silikuta gatangi ka mai kamegaragario.
Ng'ombe sikaanza kuania. Sikaania,sikaania, sikaania
mpaka babangu akatoka rugongo akakuja kianda.
Akaniuliza "Mbogo, kwanini ng'ombe sinaania hivyo?
Nikamwira ni gatangi kamegaragara.
Alinichapa sana na ndio nikajua umuhimu wa maji.
Mwalimu ni akenirio ni insha iyo na akihe Mbogo marks 16/40.
 
km kisukuma vile halafu kinagoma tena. Mzee mmoja wa kisukuma aliwahi kuulizwa matumizi ya msumeno yeye akajibu "msumeno kazi yake ni kugogotela mbawa" (kuogogota= kusuguasugua repeatedly, mbawa=mbao). Samahani kwa kuanzisha darasa la masanja mkandamizaji hapa, ni lugha ambayo naipenda sana tu, hakuna cha ziada
 
Asanteni sana! Duh, hii walau ina ladha kuliko hiyo swinglish inayonuka kimarekani na kimalkia ambayo baadhi au wengi wetu ni weledi sana kuitumia! huwa inachefua! Leteni fitu fya aina hii hii mara moja moja, walau inatukumbushia kwetu wajameni!! Mwabeja sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom