Andambwile Vs Kagoma who wins?

Andambwile Vs Kagoma who wins?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,711
Reaction score
5,641
Sasa Tanzania ndani ya nchi yetu tumepata top top Defensive Midifielders, vijana wenye nguvu kweli kweli, mmoja Akitokea Simba Sports Club kwa jina Akijulikana kama Yusuph Kagoma Mvunja Kuni, na mwingine akifahamika kwa jina Aziz Andambwile A.k.a PLC. vijana hawa ni wataalamu wa kukaba na kuchezesha timu.

sasa tulinganishe Baadhi ya mambo toka kwao
Umri - Aziz 25, Kagoma 29
Urefu - Aziz 184 cm, Kagoma 180
Uzito Aziz 76kg, kagoma 75 km

Hawa wote.ni watoto wetu, Andambwile ana speed zaidi ya kagoma, lakini kagoma anajua kupasi zaidi.
pia katika kukaba sioni wakipishana sana.

sasa tuseme maoni yetu, kati ya Aziz andambwile na Yusuph Kagoma nani mtaalamu zaidi katika eneo lake.

Kimakabila wote wanatokea makabila ambayo yamekuwa juu kwa vipaji vya mpira, mmoja Muha wa kigoma.mwingine mnyakyusa wa Mbeya.

sijawagi kuona mtu mwenye kipaji chochote anatokea kabila la wakwele, sijui hili kabila kuna shida gani
 
Hapo kwa Wakwele, unaweza ukafafanua zaidi? All in all, bado ni mapema sana kuwalinganisha. Labda mpaka msimu huu ukipita. Kwa sababu Aziz Andabwile ndiyo ameanza kuaminiwa na kocha wake Romain Folz hizi siku za karibuni. Kabla ya hapo, hakuwa akiongolewa kivile! Na badala yake mcheza rafu nyingi Yusuph Kagoma ndiyo alikuwa habari ya mjini.
 
Kagoma is too far, azizi atafika huko lakini kumlinganisha na kagoma nadhani sio sahihi kwa sasa.....

Tumpe walau misimu miwili ... !
 
Mm ni yanga lakni Aziz ni overrated hafiki uwezo wa kagoma na muda si mrefu ataanza kukaa bench
 
Tuwaulize wenyewe tangu wakiwa Singida Big Stars
IMG_8096.jpeg
IMG_8097.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom