Ancient Movie special thread

Ile single movie aliyoicheza brad pitt..ndio ilikua fire sana.

Napendaga sana zile moments mishale ya moto inapo rushwa na kudondoka kama mvua.

#MaendeleoHayanaChama
Eeee ndo maana hii series haijatikisa iko ki drama sana
 
Ile single movie aliyoicheza brad pitt..ndio ilikua fire sana.

Napendaga sana zile moments mishale ya moto inapo rushwa na kudondoka kama mvua.

#MaendeleoHayanaChama
Ila hobbit:battle of the five army ina moment hizo
 
Bado nimetafuta Sana hicho kitabu nimekosa alafu kimejuisha story zote za zile movie Tatu...hii movie nimeangalia zaidi ya mara 7 na hainichoshi
Nilibahatika kupata kitabu (hard copy) from a friend nae anaipenda The hobbit balaa akatoa kama zawadi
movie za hii genre hii ni nzuri sana sababu zina vitabu vyake
 
Nilibahatika kupata kitabu (hard copy) from a friend nae anaipenda The hobbit balaa akatoa kama zawadi
movie za hii genre hii ni nzuri sana sababu zina vitabu vyake
Hivi app gani unaweza kuvisoma hivi vitabu
 
Kama mimi ningekuwa Netflix i’d be very careful with amazon prime, naona hawa jamaa siku hizi wanakuja na vigongo kwa hasira tofauti na miaka ya nyuma wamechangamka sasa...

Netflix siku hiz wanakera toka wagundue tabia ya kutengeneza Movie za kawaida ila kwa kutupia watu maarufu kibao humo ndani, wanajua utaangalia tu sababu A-listers wamejaa(Red Notice & Gray Man)

Yaah amazon prime video ndo wanaitoa
 
Kweli amazon prime video anakuja kwa kasi IMDb inampa advertising ya nguvu
 
Hivi app gani unaweza kuvisoma hivi vitabu
Mimi huwa napenda vitabu hard copy makaratsi kabisa ila

Kwa app kuna amazon kindle kama pesa sio tatizo kwako, na kama ni mchumi
Nenda google andika jina la kitabu likifuatiwa na neno PDF hifadhi kwenye google drive tayar kwa kusoma
 
Ngoja nijaribu Google na hard copy unanunua app gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…