AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,412
- 6,281
Ile 300 rise of empire ndo wangeanza nayo alafu ndo wakafuata 300 Spartans300 ni the best kwangu japo walifeli kuunganisha mtukio cz it's a sequel movie
Ndo jina lake hilokuna ile moja inaitwa Jeshi la wafu
yap, ilikamata sana miaka hiyoNdo jina lake hilo
Inaelezea historia ganiyap, ilikamata sana miaka hiyo
Aaah horror movie'the army of dead' zipo kama tatu hivi stori tofauti
tena kuna ile moja jamaa amefata kitabu sasa amesahau baadhi ya maneno kuyataja, balaa lilianzia huko alipo hadi mji mzima kilitibuka vibayaAaah horror movie
Ntaitafuta hiyotena kuna ile moja jamaa amefata kitabu sasa amesahau baadhi ya maneno kuyataja, balaa lilianzia huko alipo hadi mji mzima kilitibuka vibaya
Halaf ata rise of an empire ilivoisha ni ki staili flani unfinished storyIle 300 rise of empire ndo wangeanza nayo alafu ndo wakafuata 300 Spartans
Kweli alafu na immortals walikosa mwendelezoHalaf ata rise of an empire ilivoisha ni ki staili flani unfinished story
Movie kali hiyohata hiyo the mummy nakumbuka imetumalizia sana hela vibanda umiza
ukiwa serious sana hiyo movie huiwezi coz nusu nzima kuna comedy 😅Ntaitafuta hiyo
kama familia hiyo ndo ilikuwa movie yetuMovie kali hiyo
Lazima ntaichekiukiwa serious sana hiyo movie huiwezi coz nusu nzima kuna comedy [emoji28]
Angalia immortals uone miungu na mashetani wanapiganakama familia hiyo ndo ilikuwa movie yetu