mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Something wrong with our minds. Baada ya kuuchukua mgodi wanawalipa wafanyakazi arrears. Nina wasiwasi serikali pia itaamua kurithi na deni ambalo haijulikani ANBEN wamelifanyia nini. Hivi kweli ndio mambo yanavyoendeshwa hivyo?mhh wanadai serikali imekwisha uchukua huu mgodi na sasa imechukua pia na mzigo wa kuwalipa watumishi malimbikizo ya mishahara ambayo hawajalipwa kwa kipindi cha miezi 12, can you imagine thuis jamani. Sasa rais anaiibia nchi na pia wafanyakazi kw kutowalipa mishahara yao kwa kipindi chote hicho, pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuu
Halafu ukiuliza anaseme mna wivu wa kike, mara ooh! wavivu wa kufikiri, ole wake mtu huyu, kama sio hapa duniani atalipa hata mbinguni!Mkapa & Co wametufanya sisi manyani
Mwanamasala,
Ikiwa uafuatilia mfano wako hauko mbali na hali halisi ilivyo huko Uingereza, hivi sasa Wabunge, Mawaziri akiwemo na Waziri mkuu wako katika mchakato wa kurudisha Mapesa kwenye mfuko wa walipa kodi. hii ni kwa mara ya pili. Na matukio haya yamewatia doa wanasiasa na kuna wanaochunguzwa na Polisi na kunauwezekano wa kufikishwa Mahakamani.kwa nini kwetu kunakuwa na kiza kingi Mwanasiasa anapokosea?
Halafu ukiuliza anaseme mna wivu wa kike, mara ooh! wavivu wa kufikiri, ole wake mtu huyu, kama sio hapa duniani atalipa hata mbinguni!
Na Mitanzania mibwegeeeee...imelala usingizi....inakoroma..kroo...kroo...kroo, wamenyamaza kimya
Ndio hiyo tofauti ninayotaka tuifahamu na kuielewa kuwa Wabunge wa Uingereza wamedai marupurupu waliyokubaliwa na utaratibu uliokuwepo wakati wakiyadai. Baada ya muda kupita wanaambiwa wanapaswa kurudisha kiasi fulani kwani ule utaratibu ulikuwa na makosa.(Kumbuka ulikuwapo na umetumika toka enzi ya mama Thacher)Na Viongozi wa vyama wanawalazimisha Wabunge lazima walipe. Sasa kwetu uliotokea ni WIZI, UBADHIRIFU, UPORAJI nk na hatua zilizochukuliwa ni Finyu Wanasiasa wanakingiana vifuwa Vyombo vya Dola haviwezi au vimezuiwa kutekeleza wajibu wake. Kwa hiyo sifananishi najaribu kupambanua, juu ya Watu waliofuata utaratibu wakalipishwa na vyombo vya Dola vikafutilia baadhi yao, na Wezi Waliokwiba na kupora Wanapeta katika mitaa ya Bongo, jeuri na maneno ya fedheha wanatoa!Alibaba,huwezi kufananisha overclaim ya wabunge wa uingereza na mambo ya TZ!
hawakufanya wizi wa mali ya taifa na kusign mikataba mibovu.
Dear Nd. Junius,
Tuamkeni jamani. Watanzania tutatiwa vidole vya macho mpaka lini?????
Hata Nyerere angelikuwa hai leo, basi angelituunga mkono kwenye haya mapinduzi!!!!