Anayopitia Tundu Lissu

maskini utakua umebaki wewe pekeyako tu gentleman kwasababu ya uvivu, ubabaifu na ulofa wako.

zidisha juhudi katika kufanya kazi muungwana acha kumbwelambwela tu humu jukwani πŸ’
kubwa jinga wewe,mvivu ni wewe kazi ufanyi umebaki kuandika mavi tu humu jukwaani.
 
Wewe jamaa ni mpumbavu, unaongea vitu ambavyo havina mashiko,
haya matusi yote umetukana juu hapo sioni hekima yoyote ndani yako.
Unaowatukana huwezi hata kutoshea kula makombo ya meza zao.

Kama unajiona una hela na umefika nchi ya ahadi kaa kwa kutulia.. na ujue mafuta magando yanakuja tutakupaka mafuta umelemete vizuri, ozwoo
 
Calm down gentleman,
changia hoja bila mihemko na itapendeza zaid ndugu muerevu.

hebu waeleze na kuonyesha hayo matusi gentleman ili niumbuke? Au ndani ya fikra zako pamejaa matusi kiasi kwamba ukweli na uzito wa hoja ikikulemea unahisi umetukanwa tusi right?

ni muhimu zaid kujiepusha katika kujiexpose uropokaji na matusi yaliyojaa kwenye fikra zako kwa wadau πŸ’
 
Now matusi yako huyaoni, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekutukana kwa sababu ya kutukana viongozi wa chadema bila sababu.

Narudia tena wewe ni mpumbavu, kama unajiona umefika kileleni kaa kwa kulia, utadungunyuliwa sasa hivi.
 
Now matusi yako huyaoni, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekutukana kwa sababu ya kutukana viongozi wa chadema bila sababu.

Narudia tena wewe ni mpumbavu, kama unajiona umefika kileleni kaa kwa kulia, utadungunyuliwa sasa hivi.
Relax gentleman,
hujanitukana popote, na sijawahi kutukanwa na lofa au mropokaji yeyote humu jukwaani,

hua tunajadilina mambo ya msingi bila mbambamba za matusi πŸ’
 
Ni kweli kabisa.
1 Lissu angeweza kuwa chawa wa CCM tu na angepata cheo kikubwa na angeyamudu maisha yake.
2 Hata sasa kazi yake ya uwakili inatosha kumpa maisha mazuri na ya kifahari
Hakika huyu ndiye mzalendo wa kweli.
 
MUNGU YUPO TUTASHINDA DAMU inayoendelea kumwagika inalilia ukombozi watanzania msihofi ukombozi u karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…