Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,320
- 30,920
mauti ni ujumbe wa kila mwanadamu aliumbwa na Mungu gentleman.Ujumbe mnao mnajisahau sana
Relax tu gentleman 🐒
mauti ni ujumbe wa kila mwanadamu aliumbwa na Mungu gentleman.Ujumbe mnao mnajisahau sana
Sawa endeleenimauti ni ujumbe wa kila mwanadamu aliumbwa na Mungu gentleman.
Relax tu gentleman 🐒
Wewe na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa?Sisi hatujamtuma, kaamua kuacha shughuli zake za msingi tu na kujifanya sisi anajua sana shida zetu, atuache na maisha yetu
Relax gentleman 🐒Wewe na Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa?
kubwa jinga wewe,mvivu ni wewe kazi ufanyi umebaki kuandika mavi tu humu jukwaani.maskini utakua umebaki wewe pekeyako tu gentleman kwasababu ya uvivu, ubabaifu na ulofa wako.
zidisha juhudi katika kufanya kazi muungwana acha kumbwelambwela tu humu jukwani 🐒
relax na upunguze mihemko ikiwa huna hoja na itapendeza sana 🐒kubwa jinga wewe,mvivu ni wewe kazi ufanyi umebaki kuandika mavi tu humu jukwaani.
jiepusheni na uvivu sawa gentleman? 🐒Sawa endeleeni
Wewe jamaa ni mpumbavu, unaongea vitu ambavyo havina mashiko,Gentleman,
mropokaji, kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana, hakuna mwenye hekima na busara anaweza kufanya nae kazi, labda lofa kama heche mwenye stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,
na ndio maana unaona hakuna mwanachadema anaebabaika nae na wenye hekima na busara zao wanamkimbia tu na kuamua kujiunga na mirengo mingine ya kisiasa 🐒
Calm down gentleman,Wewe jamaa ni mpumbavu, unaongea vitu ambavyo havina mashiko,
haya matusi yote umetukana juu hapo sioni hekima yoyote ndani yako.
Unaowatukana huwezi hata kutoshea kula makombo ya meza zao.
Kama unajiona una hela na umefika nchi ya ahadi kaa kwa kutulia.. na ujue mafuta magando yanakuja tutakupaka mafuta umelemete vizuri, ozwoo
Now matusi yako huyaoni, 😂😂😂Calm down gentleman,
changia hoja bila mihemko na itapendeza zaid ndugu muerevu.
hebu waeleze na kuonyesha hayo matusi gentleman ili niumbuke? Au ndani ya fikra zako pamejaa matusi kiasi kwamba ukweli na uzito wa hoja ikikulemea unahisi umetukanwa tusi right?
ni muhimu zaid kujiepusha katika kujiexpose uropokaji na matusi yaliyojaa kwenye fikra zako kwa wadau 🐒
Relax gentleman,Now matusi yako huyaoni, 😂😂😂
Nimekutukana kwa sababu ya kutukana viongozi wa chadema bila sababu.
Narudia tena wewe ni mpumbavu, kama unajiona umefika kileleni kaa kwa kulia, utadungunyuliwa sasa hivi.
MUNGU YUPO TUTASHINDA DAMU inayoendelea kumwagika inalilia ukombozi watanzania msihofi ukombozi u karibu.Binafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..
Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yupo tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao
Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.
Upendo uwo hauelezeki,
Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. 🤧😭😭 na daudi alipigwa.
Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.
Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.
Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
🙏🏾