Sawa, mnyang'anyeni tutamnunulia hata IST, kikubwa elimu itatolewa kwa watanzaniaheche anatembelea gari alilopewa na kada wa CCM baada ya kufilisiwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti - Elia Evarist π
Akina Tlaatlaa wanaamini kuna MwanaJf wanaweza kumdanganyaHata umwambie nani anakuona wewe ndiye mropokaji tena kana kasuku kwa kukaririshwa na kundi lako la roho mbaya.
Tuo ujinga wako,eti wanyonge wachache nchi hii asilimia kubwa raia wake ni maskini wa kutupwa shukuru huko ccm unabahatisha vihela vya uwizi na wewe ungekuwa masikini.Miaka yoye hiyo mpo madarakani mmeshindwa kuondoka ufukala vilaza nyie.waTanzania wazalendo wote tupo pamoja na kwakweli kwa heshima kubwa kwa Taifa letu tunasonga mbele kwa umoja, amani na mshikamano wa kitaifa.
wavivu wachache ambao wana mihemko binafsi tu kwasababu ya unyonge wa kiuchumi, huenda ndio wana chuki nami, hata hivyo wengi tunasonga mbele kwa bidii sana kulinda Taifa letu dhidi ya vibaraka, vibaka na matapeli wa kisiasa wa ndani na nje ya nchi.
Uongozi wa chadema una hasira ya kukataliwa na wananchi na kukimbiwa na wanachama wake π
maskini utakua umebaki wewe pekeyako tu gentleman kwasababu ya uvivu, ubabaifu na ulofa wako.Tuo ujinga wako,eti wanyonge wachache nchi hii asilimia kubwa raia wake ni maskini wa kutupwa shukuru huko ccm unabahatisha vihela vya uwizi na wewe ungekuwa masikini.Miaka yoye hiyo mpo madarakani mmeshindwa kuondoka ufukala vilaza nyie.
atachanganyikiwa gentleman na hivi anakaa kwa wazazi? Ni fedheha sana aise πSawa, mnyang'anyeni tutamnunulia hata IST, kikubwa elimu itatolewa kwa watanzania
Relax gentleman,Hata umwambie nani anakuona wewe ndiye mropokaji tena kana kasuku kwa kukaririshwa na kundi lako la roho mbaya.
Relax gentleman,
jikite kwenye hoja bila mihemko wala makasiriko π
Wewe na wenzio mwendelee kutokwa povu kwa bakora mlizocharazwa kwa mambo yenu ovu na roho zenu zinazowaza mabaya juu ya wengine.Relax gentleman,
jikite kwenye hoja bila mihemko wala makasiriko π
ntakuja kukusalimia mwananyamala gentleman,Tulia wewe anytime nalianzisha sokomoko π€£
Asikusumbue huyo yeye mwenyewe huko CCM cha moto amekiona sana.Wewe na wenzio mwendelee kutokwa povu kwa bakora mlizocharazwa kwa mambo yenu ovu na roho zenu zinazowaza mabaya juu ya wengine.
Nipo hapa Manzese kwa Mfuga Mbwantakuja kukusalimia mwananyamala gentleman,
I hope nikikusalimia mambo kamanda - utakua unajibu thafi tu aithee,
kwasababu taya zitakua hazina ushirikiano dah !π
Bro una moyo zaidi ya paka,roho ngumu mno!Gentleman,
mropokaji, kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana, hakuna mwenye hekima na busara anaweza kufanya nae kazi, labda lofa kama heche mwenye stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,
na ndio maana unaona hakuna mwanachadema anaebabaika nae na wenye hekima na busara zao wanamkimbia tu na kuamua kujiunga na mirengo mingine ya kisiasa π
Gentleman,Wewe na wenzio mwendelee kutokwa povu kwa bakora mlizocharazwa kwa mambo yenu ovu na roho zenu zinazowaza mabaya juu ya wengine.
Fanyeni yote ila wote ni wakaburini miaka 100 mbele wote tutakuwa udongoni haijalishi ulikuwa na madaraka kiasi gani.Gentleman,
mropokaji, kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana, hakuna mwenye hekima na busara anaweza kufanya nae kazi, labda lofa kama heche mwenye stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,
na ndio maana unaona hakuna mwanachadema anaebabaika nae na wenye hekima na busara zao wanamkimbia tu na kuamua kujiunga na mirengo mingine ya kisiasa π
kumbe ni wewe ndie unaeuza mbwa hapo gentleman?Nipo hapa Manzese kwa Mfuga Mbwa
G55 walimponda Sana lissu wakati wa uchaguzi mara Hana Hela hawezi kushinda, blahblah nyingi...Leo wanahahaa.Lissu ni moto mwingineeeBro una moyo zaidi ya paka,roho ngumu mno!
Kwa jinsi ulivyokuwa unaiongelea CHADEMA,ulivyokuwa unamwongelea Mbowe,ukajaribu kupambana Uenyekiti wa Mbowe...Leo unapambana kuwavisha taulo G55,hakika wewe "kiboko"..
Gentleman,Fanyeni yote ila wote ni wakaburini miaka 100 mbele wote tutakuwa udongoni haijalishi ulikuwa na madaraka kiasi gani.
Mifano mnayo walikuwepo wababe wakajiona mungu watu ila sasa wako udongoni
Ujumbe mnao mnajisahau sanaGentleman,
kila nafasi itaonja umauti.
huna haja ya kubabaika wala kubwelambwela kuhusu hilo na kujifanya wewe ni mjomba wake mungu,π