Ni sawa. Wana uhuru huo.Muungwana anapitia changanoto ya kukataliwa na wenye maono, hekima, busara na utashi wa kisiasa ndani ya chadema π
Sisi hatujamtuma, kaamua kuacha shughuli zake za msingi tu na kujifanya sisi anajua sana shida zetu, atuache na maisha yetuBinafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..
Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yuto tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao
Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.
Upendo uwo hauelezeki,
Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. π€§ππ na daudi alipigwa.
Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.
Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.
Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
ππΎ
acha uvivu katika kazi gentleman,Tulia wewe mwisho wenu mbaya na tamaa zenu. Sijui unajisikiaje kutushushia unit za mabando ya data halafu leo na wewe unabishana na sisi humu π€£π€£π€£
Gentleman ulikulaga mrungula kushusha unit za mabando wewe, na ukadhani unatukomoa hakomolewi mtu hapa.acha uvivu katika kazi gentleman,
weka bando ya maana acha kumbwelambwela kwa ramli na kulalamikia mambo madogo madogo kama bando π
Gentleman,Gentleman ulikulaga mrungula kushusha unit za mabando wewe, na ukadhani unatukomoa hakomolewi mtu hapa.
Zaidi ya nyinyi walafi na wenye tamaa za kutaka kila kitu.
Maisha yanasonga gentleman na nina mpango wa kuleta sokomoko lile Lissu ni cha mtoto π€£π€£π€£
Cc: Lamomy
Historia ya Lissu inamhukum kwa memaBinafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..
Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yuto tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao
Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.
Upendo uwo hauelezeki,
Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. π€§ππ na daudi alipigwa.
Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.
Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.
Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
ππΎ
Kwa sasa lissu ni mzalendo namba moja wa nchi yetuuuuBinafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..
Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yuto tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao
Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.
Upendo uwo hauelezeki,
Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. π€§ππ na daudi alipigwa.
Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.
Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.
Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
ππΎ
Kama Mandela tu....Bado anasubiri kunyongwa
Tulia wewe anytime nalianzisha sokomoko π€£Gentleman,
labda ulete sokomoko la kabokamchizi na si vinginevyo.
na ukikosa bando tu unakosa uhondo jukwaani, we endekeza uvivu π
Mungu anaipenda Sana nchi yetuuuHistoria ya Lissu inamhukum kwa mema
SanaaMungu anaipenda Sana nchi yetuuu
Hata umwambie nani anakuona wewe ndiye mropokaji tena kana kasuku kwa kukaririshwa na kundi lako la roho mbaya.Gentleman,
mropokaji, kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana, hakuna mwenye hekima na busara anaweza kufanya nae kazi, labda lofa kama heche mwenye stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,
na ndio maana unaona hakuna mwanachadema anaebabaika nae na wenye hekima na busara zao wanamkimbia tu na kuamua kujiunga na mirengo mingine ya kisiasa π