Anayopitia Tundu Lissu

Anayopitia Tundu Lissu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,761
Reaction score
15,577
Binafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..

Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yupo tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao

Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.

Upendo uwo hauelezeki,

Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. 🤧😭😭 na daudi alipigwa.

Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.

Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.

Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
🙏🏾
 
Binafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..

Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yuto tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao

Sisi hatujamtuma, kaamua kuacha shughuli zake za msingi tu na kujifanya sisi anajua sana shida zetu, atuache na maisha yetu
 
waTanzania wazalendo wote tupo pamoja na kwakweli kwa heshima kubwa kwa Taifa letu tunasonga mbele kwa umoja, amani na mshikamano wa kitaifa.

wavivu wachache ambao wana mihemko binafsi tu kwasababu ya unyonge wa kiuchumi, huenda ndio wana chuki nami, hata hivyo wengi tunasonga mbele kwa bidii sana kulinda Taifa letu dhidi ya vibaraka, vibaka na matapeli wa kisiasa wa ndani na nje ya nchi.

Uongozi wa chadema una hasira ya kukataliwa na wananchi na kukimbiwa na wanachama wake 🐒
 
Tulia wewe mwisho wenu mbaya na tamaa zenu. Sijui unajisikiaje kutushushia unit za mabando ya data halafu leo na wewe unabishana na sisi humu 🤣🤣🤣
acha uvivu katika kazi gentleman,
weka bando ya maana acha kumbwelambwela kwa ramli na kulalamikia mambo madogo madogo kama bando 🐒
 
Gentleman ulikulaga mrungula kushusha unit za mabando wewe, na ukadhani unatukomoa hakomolewi mtu hapa.
Zaidi ya nyinyi walafi na wenye tamaa za kutaka kila kitu.

Maisha yanasonga gentleman na nina mpango wa kuleta sokomoko lile Lissu ni cha mtoto 🤣🤣🤣

Cc: Lamomy
 
Gentleman,
labda ulete sokomoko la kabokamchizi na si vinginevyo.

na ukikosa bando tu unakosa uhondo jukwaani, we endekeza uvivu 🐒
 
Binafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya..

Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yuto tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao

Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana.

Upendo uwo hauelezeki,

Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona Mungu kashusha adhabu ya tauni kwa watu wake, Daudi alimlilia Mungu na kutafuta msamaha kwa Kumwambia Mungu, Nipige mimi na familia yangu mimi uliyenituma kuwa kuwa kiongozi wao, ndio unipe adhabu ya Makosa yote. 🤧😭😭 na daudi alipigwa.

Watanzania tumemkosea Mungu, na msamaha si kitu kilahisi kwa Mungu bila adhabu tukiwa hapa duniani.

Eeh Mungu mtie nguvu kiongozi anayepambania haki za watu wako.

Na pia Mungu awatie nguvu family savior wote mnaotambua kuwa Mungu kakupa kundi ambalo wewe ndie kiongozi.
🙏🏾
Historia ya Lissu inamhukum kwa mema
 
Kwa sasa lissu ni mzalendo namba moja wa nchi yetuuuu
 
Gentleman,
mropokaji, kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana, hakuna mwenye hekima na busara anaweza kufanya nae kazi, labda lofa kama heche mwenye stress za kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti,

na ndio maana unaona hakuna mwanachadema anaebabaika nae na wenye hekima na busara zao wanamkimbia tu na kuamua kujiunga na mirengo mingine ya kisiasa 🐒
Hata umwambie nani anakuona wewe ndiye mropokaji tena kana kasuku kwa kukaririshwa na kundi lako la roho mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom