SHINYAKA Member Joined Oct 6, 2010 Posts 74 Reaction score 39 Jan 18, 2020 #1 Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 11,997 Reaction score 16,310 Jan 18, 2020 #2 Ulishawahi kufanya installation ya yale madishi ya FTA?