Anayeweza kufahamu huu wimbo anisaidie

Anayeweza kufahamu huu wimbo anisaidie

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,101
Reaction score
5,440
Mwaka 2010 kuna wimbo flani jina siukumbuki ila una chorus ina hang kwa beat na inasikika sauti flani uwa inapatikana kwenye FL-Studio ina sema You make me feel so high.................. I want you.
Huo wimbo aliyeuimba simfahamu ila producer anaitwa Jumoka au Samujoka kitu ka hicho.
Mwisho outro jamaa anasema Ópen your eyes and see what I feel.
Siyo wimbo wa mbele ni wa Tanzania na verse zake za Kiswahili.
Kama kuna nayeufahamu naomba anisaidie jina lake.
 
Sorry nime upost na nikafanikiwa upata aliyeimba ni cjamoker unaitwa so high. Sina jinsi ya kufuta thread
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom