- Thread starter
- #21
Asante mkuuRada niwahuni tu mkuu watakupotezea mda tu wewe nenda kwenye office za kampuni unazozifahamu waachie CV watakuita tu
Asante mkuuRada niwahuni tu mkuu watakupotezea mda tu wewe nenda kwenye office za kampuni unazozifahamu waachie CV watakuita tu
Na mimi nasubiri jibu hapaVipi hawa wa mikocheni NFT Consult Ltd?
Anae wajua.
Naomba msaada wa hio namba mkuu kama hutojali.Sidhani kama wanapokea CV mkononi...una_upload kwenye profile yako online...naku_pm namba ya mtu wa Empower atakupa msaada zaidi.