Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Apr 29, 2019 #1 Habari wanajumuiya wa JF! MWENYE NOKIA HIZI MPYA AINA YA NOKIA 3310 Naomba aniuzie! Kama unauza dondosha Comment yako Hapa Chini na Gharama Pia!
Habari wanajumuiya wa JF! MWENYE NOKIA HIZI MPYA AINA YA NOKIA 3310 Naomba aniuzie! Kama unauza dondosha Comment yako Hapa Chini na Gharama Pia!
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 23,046 Reaction score 48,002 Apr 29, 2019 #2 Mkuu kanunue Dukani utanunua ya wizi gharama zitakutoka za simu tano....vitu kama simu, TV na radio nunua vipya havina kesi na ukijijenga kununua vipya maisha yako utaendelea hivyo hivyo..
Mkuu kanunue Dukani utanunua ya wizi gharama zitakutoka za simu tano....vitu kama simu, TV na radio nunua vipya havina kesi na ukijijenga kununua vipya maisha yako utaendelea hivyo hivyo..
lewiathan JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 212 Reaction score 291 Apr 29, 2019 #3 Hii hapa chkua
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Apr 29, 2019 #4 kuna jamaa Wanauza dukani kwao pale Mlimani city!
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,026 Reaction score 22,563 Apr 29, 2019 #5 Kkoo krb na round abt ya Msimbazi unapata safi kabisa toleo la miaka ya 2000