Anayethitaji adsense anicheck kwa namba 0789056368

Njo nikupe Bure basi
mkuu kwa sasa sihitaji adsense hata bure, mwisho wa siku zinafungwa, inakua nimepoteza muda na pesa(its non sense) nimeshapata mbadala wa adsense, nikifanikiwa kupata njia sahihi ya kuzuia adsense zisifungwe ndio nitarudia adsense.. Zaidi ya mablogger 50 nawafahamu adsense zao zimefungwa..Hizo account mpya za adsense ni hovyo/bure tuu.. Labda lingetolewa somo maalum kwanza.
 
Ishu bloggers wengi wanataka shortcut ya kupata pesa haraka haraka that's why adsense wanawafungia, mbona mimi hawanifungii na napiga hadi dola 600 Kwa mwezi?
 
kwa hizi account mpya bado ni mtihani mzito hata ukienda nao sawa bila kufanya ujanja wowote ie. bila kuweka float, pulse, iframe wala kushawishi mtu a-click tangazo..kwa account mpya kuna mambo mengi wanaangalia haswa traffic sources..OK ngoja nikuulize kwa nini hizi account za zamani(zilizotoa pesa mara nyingi) zinauzwa mpaka 300,000 wakati hizi mpya zinauzwa 20,000 mpaka 15,000.Mimi ninaweza kufikiria kununua adsense yenye at least mwaka mmoja na ambayo imetoa pesa zaidi ya mara 10. Hizi account mpya ni chenga hazina uwezo wa kustahimili traffic kubwa haswa za social network, wauzaji wengi ni wahuni hawapendi kumuweka mteja wazi.
 
ipo pia nauza ina dola 32 mtu kama upo tayari ni 60,000/- PIN verified, ni PM
 
kwa hizi account mpya bado ni mtihani mzito hata ukienda nao sawa bila kufanya ujanja wowote ie. bila kuweka float, pulse, iframe wala kushawishi mtu a-click tangazo..kwa account mpya kuna mambo mengi wanaangalia haswa traffic sources..OK ngoja nikuulize kwa nini hizi account za zamani(zilizotoa pesa mara nyingi) zinauzwa mpaka 300,000 wakati hizi mpya zinauzwa 20,000 mpaka 15,000.Mimi ninaweza kufikiria kununua adsense yenye at least mwaka mmoja na ambayo imetoa pesa zaidi ya mara 10. Hizi account mpya ni chenga hazina uwezo wa kustahimili traffic kubwa haswa za social network, wauzaji wengi ni wahuni hawapendi kumuweka mteja wazi.
Hakuna mtu atakayekuuzia adsense Kwa bei hiyo, Tena non hosted, ujue huyo Anataka kutuibia tu
 
mkuu non hosted kuna wadau wanauza 20,000-30,000 na hosted sh 15,000-20,000 kama upo dar ni p.m unaenda kuwaona personally na unakagua account yako sio kutumiana huku kwenye mtandao..
 
Hakuna mtu atakayekuuzia adsense Kwa bei hiyo, Tena non hosted, ujue huyo Anataka kutuibia tu
kwa sasa adsense wamebana sana hata kwenye social network angalia site zenye adsense ni chache ... accounts nyingi zilianza kufungwa mwezi wa sita..hilo halina ubishi hata asilimia kubwa ya pages za facebook zilizokua na blog na website/blog zilizokua zina adsense angalia kwa sasa nyingi zimefungwa..hata groups zote za whatsap za mablogger wanalijua hilo na ndio malalamiko makubwa... Ipo hivi kama una adsense account ambayo imetoa pesa zaidi ya mara kumi nitanunua hata kwa 300,000 nimehangaika kutafuta ila nimekosa, mtu anakuambia hata kwa 500,000 hauzi account za zamani ila hizi mpya unauziwa kama chai?? Jiulize ni kwa nini???
 
hata acc za AdSense kukubaliwa saiv in ishu kichizi ndo mana wanaouza ni zile walizozipataga zaman ila walikua hawazitumii toka mwez wa sita mwishoni Google walibadilisha sheria zao kwa mfano mwanzo blog moja ulikua unaweza kuomba acc ukikubaliwa unabadilisha blog tea unaomba tena lkn saiv wamebadilisha email moja unaombea acc moja tu ukitaka kuomba tena inabid ufanye transfer kwenye email nyingine na penyewe mpaka ukubaliwe iwe verified ni vigumu cdhan km kuna MTU alieomba acc toka mwez wa saba na akakubaliwa kiurahc na kuusu suala LA kufungwa sio acc mpya ndo zinafungiwa isipokua utundu bloggers wanaotumia bila kucheza na ctr kwa kifupi Google wamepunguza ctr hata kama una acc ya zaman ikawa na ctr kubwa unafungiwa kiurahc cha kufanya no kuwa na page viewers wengi afu clicks chache ili ctr isiwe kubwa HIVYO BC ACC MPYA SIO KM NDO ZINAFUNGWA HATA ZA ZAMAN ZINAFUNGWA KM UNA CTR KUBWA cha kufanya no kucheza na ctr na page viewers wengi km unao wachache weka site yako MTU akikrick Mara moja zinafunguka tab 3 ili kama umepata page viewers 100 wanakua 300 na km ukipata 1000 wanakua 3000 ukipata cricks 500 unakua na dollar za kutosha na ctr inakua ndogo
 
nina account mpya hosted nicheki 20,000/-
 
non hosted adsense account ina dola 32, PIN verified kama upo dar ni-pm namba tuonane nikupe kwa 60,000/-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom