Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Pamoja na kwamba tabia za kila aina zipo katika kila kundi na kabila, lakini uchunguzi wangu wa muda mrefu umenishawishi kwamba wanawake walimu ni waadilifu zaidi kulinganisha na makundi mengine.
Sasa anayetaka mke mwalimu aende jukwaa la elimu kwenye uzi wowote unaohusu ajira za ualimu, kumgundua kama ni mwalimu, utaona jinsi anavyolalama kuhusu ajira. Kumgundua kama ni mwanamke - akili zako changanya na za kupewa.
Najua nitakuwa nimesaidia wengi sana.
Note: Munkari msimguse nitampm muda si mrefu.
cc: mimi49, Heaven on Earth, farkhina
Hahahaaaa kwa maana hyo ambao sio walimu ni majanga? mmmh idont thnk so
Nilidhani mwanzisha Uzi ni Mwalimu wa Kike anatafuta mume acha nikimbilie kufungua. Nyooooooo
ngoja nianze kuzungukia waalimu wa Grade III A!
hapa najua life is made easy!
Nilidhani mwanzisha Uzi ni Mwalimu wa Kike anatafuta mume acha nikimbilie kufungua. Nyooooooo
Hahahaaaa kwa maana hyo ambao sio walimu ni majanga? mmmh idont thnk so
Jamani me nipo, tena nina degree, lakini usimwambie mtu siri yako.
Mbona wapo wengi tu kwenye jamii zetu.
Nipm Kim Nana nikudigrishe ya pili