Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

Kwa kweli wapinzani wangu mnazingua sana yaani, hata picha mara nyingi anatangulia kuweka Lissu au mgombea ubunge wa eneo husika
 
Jifunze kuandika maneno yanayoeleweka
Kwahyo kufanya kiki za kuwachukua vijana wadogo wakisukuma unawanunulia linguo jeusi halafu unaenda machinjioni kununua nkia wa mbuzia halafu unawaambia wakuvalishe kwenye kigoda huku ukipiga video za kamera ya simu nakutapeli watu eti wasukuma wamekukubalii, hiii tabia ni nzuriiiii???
 
Mmeonesha uzalendo mkubwa kwa CDM asanteni sana.
Hii ni makala ya hasira, nina hasira kiasi kwamba nitabandika makala tatu tofauti leo.

Watu wengi wameshalalamika ni kwanini CHADEMA wanashindwa kurusha matangazo yao Live, sitaliongelea hilo.

Leo mi naongelea kitu kingine. Naongelea jinsi mnavyowakilisha habari zenu kama ilivyoandikwa hapo chini:

Mnaweka video za sekunde chache YouTube, YouTube siyo TikTok, Facebook au Instagram. Wanaoenda YouTube wako tayari kuangalia video za zaidi ya dakika 20. Hizo za sekunde chache ni za kuweka Facebook ili ziwasukume watu kwenu. Facebook inajua nani anataka kuangalia nini na ujumbe utasambaa sana.

Mpaka sasa hamtangazi kwa watu ni jinsi gani watapata habari. Niliandika kwamba CCM wameshaamua kutoa mtandao kafara. Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara.

Mko kwenye vita ya habari na CCM wameshawashinda. Sasa badala ya kutumia majukwaa yenu ya kampeni na kuwaelemisha watu watapataje habari zenu mko kimya.

Watanzania wanaogopa kutuma message WhatsApp. Mnamdanganya Lissu kwamba whatsApp inatosha. Lissu amesema kuwa watu wanaoenda kwenye mikutano ni kupitia kuambiana kwenye whatsApp. Hivi mna akili timamu kweli? Mnajua ni watu wangapi wako Tanzania? Kama mnategemea WhatsApp mnawaacha watu wengi pembeni. Pia kuna vyanzo vingine vingi vya habari mnavisahau.

Hamjitayarishi kurusha matangazo Live: Mara yakirushwa yanakatwa, mara video zinaganda. Inatia aibu kiasi kwamba kwenye mkutano wenu wa Arusha aliyerusha matangazo yenu live alikuwa mtazamaji na simu yake ya mkononi ambayo alikuwa ameiweka potrait mode (amesimamisha) badala ya landscape mode(iliyotengenzezwa ili video ijae kwenye screen)

Mnakata mahali muhimu kwenye matangazo kama TBC. Hata ikiwa live, nashangaa inakata kwa style ileile ya TBC, Lissu akianza kutoa cheche inakata. Inabidi mtu u search upya na unakutana na link nyingine.

Hawatengenezi media contents: Embu angalieni nini ACT wanafanya, jinsi wanavyotengeneza material for media kampeni. Jinsi walivyoiwakilisha ilani yao, jinsi wanavyotoa matangazo madogo marahisi kuyaelewa ambayo unaweza sambaza kwenye whatsapp na yana ujumbe wote. Hivi vitu ni bei rahisi kuna wahindi wanapatikana online watakutengezea kwa dolla sita (12,000Tsh).

Mimi sidhani anayeongoza kitengo cha habari hajui kazi yake. Anatumia ujanja kwamba viongozi wa CHADEMA siyo wanahabari na hata kama ni wanahabari hawako exposed na effective way of communication. Naogopa kusema hili lakini naanza kuamini huyo mtu ana kazi maalumu ya kitengo. CCM vita yake kuu ni kunyima ujumbe usifike. Kwa sababu anayependa kusifiwa hapendi kudhalilishwa.

Anayeongoza kutoa habari CHADEMA apewe onyo na asipojirekebisha akae pembeni.

Akhsante.

Niongezee: Hamko consistency na wapi tupate habari. Mara leo BAVICHA Facebook page, kesho CHADEMA TV, keshokutwa Jamvi Online aghhhhhh

Update:
Makala ya pili ya hasira zangu hii hapa;
Chadema, Mlituahidi Kampeni Nyumba kwa Nyumba lakini mnaruka wilaya na vijiji kwenye misafara yenu
Ngoja nikale kabla sijanuniwa na mimi nikirudi nitaandika ya tatu!!
NAUNGA MKONO HOJA YAANI CHADEMA WANAZINGUA
Umetoa mrejesho muhimu na wakati sahihi kwa Chama, boresheni.
Tumaini makene Ni CCM yule ashakula pesa za CCM

Athibitiwe hata Kama hawana uwezo wanipe Mimi kazi nitawaweka live YouTube, Instagram, Facebook na Twitter

Muda wote wa kampeni mpaka wanamaliza.

Huu unaofanyika Sasa Ni utoto toka asubuhi saa 11 ndio watu wanaleta picha huu Ni zaidi ya utoto.
chadema katika hili msituanguangushe tafadhari... natumai ujumbe umekufikeni
 
Tumaini makene Ni CCM yule ashakula pesa za CCM

Athibitiwe hata Kama hawana uwezo wanipe Mimi kazi nitawaweka live YouTube, Instagram, Facebook na Twitter

Muda wote wa kampeni mpaka wanamaliza.

Huu unaofanyika Sasa Ni utoto toka asubuhi saa 11 ndio watu wanaleta picha huu Ni zaidi ya utoto.
Kweli kabisa mkuu! Hata avatar yako inasadifu utaalamu, (technical person).
Mie wananikera hadi basi, wajirekebishe fasts kumaintain credits.
 
Jamani CHADEMA kwa hili kwa nini hamko wasikivu. Hamjui mkiimprove huku ndio mtawafikia Watanzania wengi? Naona watu binafsi ndio wanapost post vitu, ila media ya chama jamani haiko coordinated kabisa. Mbona watu wanapigia kelele hili suala halafu halifanyiwi kazi? Habari inabidi ziwafikie Watanzania kimpangilio.
 
Tumaini makene Ni CCM yule ashakula pesa za CCM

Athibitiwe hata Kama hawana uwezo wanipe Mimi kazi nitawaweka live YouTube, Instagram, Facebook na Twitter

Muda wote wa kampeni mpaka wanamaliza.

Huu unaofanyika Sasa Ni utoto toka asubuhi saa 11 ndio watu wanaleta picha huu Ni zaidi ya utoto.

CHADEMA, @TUNDULISSU MBOWE

Jamani hapa paboreshwe. Hapako vizuri kabisa. Mtu kupata habari inabidi uunge unge matukio, mara Twitter, mara Instagram (pages za watu binafsi), mara YouTube tena kutoka kwa watu mbali mbali.. inakuwa kero kweli. Hujui wapi unapata taarifa ya mgombea iliyokamilika. Vipande vipande tuuuu. Mbona hili ni jepesi? Kwa nini linakwama? Na mbona hamsikii tangu watu waanze kulalamika?
 
Hii ni makala ya hasira, nina hasira kiasi kwamba nitabandika makala tatu tofauti leo.

Watu wengi wameshalalamika ni kwanini CHADEMA wanashindwa kurusha matangazo yao Live, sitaliongelea hilo.

Leo mi naongelea kitu kingine. Naongelea jinsi mnavyowakilisha habari zenu kama ilivyoandikwa hapo chini:

Mnaweka video za sekunde chache YouTube, YouTube siyo TikTok, Facebook au Instagram. Wanaoenda YouTube wako tayari kuangalia video za zaidi ya dakika 20. Hizo za sekunde chache ni za kuweka Facebook ili ziwasukume watu kwenu. Facebook inajua nani anataka kuangalia nini na ujumbe utasambaa sana.

Mpaka sasa hamtangazi kwa watu ni jinsi gani watapata habari. Niliandika kwamba CCM wameshaamua kutoa mtandao kafara. Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara.

Mko kwenye vita ya habari na CCM wameshawashinda. Sasa badala ya kutumia majukwaa yenu ya kampeni na kuwaelemisha watu watapataje habari zenu mko kimya.

Watanzania wanaogopa kutuma message WhatsApp. Mnamdanganya Lissu kwamba whatsApp inatosha. Lissu amesema kuwa watu wanaoenda kwenye mikutano ni kupitia kuambiana kwenye whatsApp. Hivi mna akili timamu kweli? Mnajua ni watu wangapi wako Tanzania? Kama mnategemea WhatsApp mnawaacha watu wengi pembeni. Pia kuna vyanzo vingine vingi vya habari mnavisahau.

Hamjitayarishi kurusha matangazo Live: Mara yakirushwa yanakatwa, mara video zinaganda. Inatia aibu kiasi kwamba kwenye mkutano wenu wa Arusha aliyerusha matangazo yenu live alikuwa mtazamaji na simu yake ya mkononi ambayo alikuwa ameiweka potrait mode (amesimamisha) badala ya landscape mode(iliyotengenzezwa ili video ijae kwenye screen)

Mnakata mahali muhimu kwenye matangazo kama TBC. Hata ikiwa live, nashangaa inakata kwa style ileile ya TBC, Lissu akianza kutoa cheche inakata. Inabidi mtu u search upya na unakutana na link nyingine.

Hawatengenezi media contents: Embu angalieni nini ACT wanafanya, jinsi wanavyotengeneza material for media kampeni. Jinsi walivyoiwakilisha ilani yao, jinsi wanavyotoa matangazo madogo marahisi kuyaelewa ambayo unaweza sambaza kwenye whatsapp na yana ujumbe wote. Hivi vitu ni bei rahisi kuna wahindi wanapatikana online watakutengezea kwa dolla sita (12,000Tsh).

Mimi sidhani anayeongoza kitengo cha habari hajui kazi yake. Anatumia ujanja kwamba viongozi wa CHADEMA siyo wanahabari na hata kama ni wanahabari hawako exposed na effective way of communication. Naogopa kusema hili lakini naanza kuamini huyo mtu ana kazi maalumu ya kitengo. CCM vita yake kuu ni kunyima ujumbe usifike. Kwa sababu anayependa kusifiwa hapendi kudhalilishwa.

Anayeongoza kutoa habari CHADEMA apewe onyo na asipojirekebisha akae pembeni.

Akhsante.

Niongezee: Hamko consistency na wapi tupate habari. Mara leo BAVICHA Facebook page, kesho CHADEMA TV, keshokutwa Jamvi Online aghhhhhh

Update:
Makala ya pili ya hasira zangu hii hapa;
Chadema, Mlituahidi Kampeni Nyumba kwa Nyumba lakini mnaruka wilaya na vijiji kwenye misafara yenu
Ngoja nikale kabla sijanuniwa na mimi nikirudi nitaandika ya tatu!!
Chadema kuweni wangalifu haraka huyu anayeratiba Habari na mawasiliano nadhani inaingozwa na Tumain Makene. Huyi mtu sio mzuri hata kidogo. Kama swala ni pesa aseme tutanchangia.

Chama kikuu kinachotaka kuchukua nchi kinakuwa na platform moja ya habari?? Harafu habari zenyewe zina delay kiasi hiki??
Team ta habari ya Mtu mmoja?? MOLEMO TU??
Akiugua je?? Tena ni dhaifu sana. Na mkituudhi tutawatwanga tu.

Idara ya habari inazidiwa na jitihada za Raia mmoja tu ambaye anajitahidi kuitangaza chadema kwenye Facebook, tweeter, whatsapp, insta na Youtube tena ambaya hana hata kadi ya chama na wala hana uongozi wowote ndani ya chama.

Kusema ukweli Kama Tumaini makene ameshinda kazi aapishw wenye uwezo. Na yeyote atakayemlinda basi tutajua wote lao moja.

Haikubaliki haikubaliki hata kidogo.
 
Jamani CHADEMA kwa hili kwa nini hamko wasikivu. Hamjui mkiimprove huku ndio mtawafikia Watanzania wengi? Naona watu binafsi ndio wanapost post vitu, ila media ya chama jamani haiko coordinated kabisa. Mbona watu wanapigia kelele hili suala halafu halifanyiwi kazi? Habari inabidi ziwafikie Watanzania kimpangilio.
Kuna mtu anatuhujumu huko juu sio bure. Wananchi tumejizatiti sana lakini eti kakikundi kamoja kanajiita Habari na maelezo kamelala usingizi kipindi hiki. Lazima kuna jambo.
 
Shida kubwa ni kuwa ccm imewashambulia kwa kiwango kikubwa hata kufikia hatua ya baadhi yao kuwa ktk hatari ya kukosa mkate wao wa kila siku. Hivyo chama kimesambaratika wamebaki wachache wasioweza ku cover kila eneo. Mbaya zaidi media zote zimebanwa haswa ambazo zingesaidia.

Imefikia wakati kila mmoja wetu anaficha utambulisho au mapenzi yake kwa upinzani ili kupata angalau riziki ila box la kura litaamua kudadek. mwaka huu nilikuwa nisipige kura ila nitapiga wacha waibe ila kura tangu itaniwakilisha katika roho kuwa nilikataa udhalimu na kuchagua haki. Amen.
 
Hii ni makala ya hasira, nina hasira kiasi kwamba nitabandika makala tatu tofauti leo.

Watu wengi wameshalalamika ni kwanini CHADEMA wanashindwa kurusha matangazo yao Live, sitaliongelea hilo.

Leo mi naongelea kitu kingine. Naongelea jinsi mnavyowakilisha habari zenu kama ilivyoandikwa hapo chini:

Mnaweka video za sekunde chache YouTube, YouTube siyo TikTok, Facebook au Instagram. Wanaoenda YouTube wako tayari kuangalia video za zaidi ya dakika 20. Hizo za sekunde chache ni za kuweka Facebook ili ziwasukume watu kwenu. Facebook inajua nani anataka kuangalia nini na ujumbe utasambaa sana.

Mpaka sasa hamtangazi kwa watu ni jinsi gani watapata habari. Niliandika kwamba CCM wameshaamua kutoa mtandao kafara. Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara.

Mko kwenye vita ya habari na CCM wameshawashinda. Sasa badala ya kutumia majukwaa yenu ya kampeni na kuwaelemisha watu watapataje habari zenu mko kimya.

Watanzania wanaogopa kutuma message WhatsApp. Mnamdanganya Lissu kwamba whatsApp inatosha. Lissu amesema kuwa watu wanaoenda kwenye mikutano ni kupitia kuambiana kwenye whatsApp. Hivi mna akili timamu kweli? Mnajua ni watu wangapi wako Tanzania? Kama mnategemea WhatsApp mnawaacha watu wengi pembeni. Pia kuna vyanzo vingine vingi vya habari mnavisahau.

Hamjitayarishi kurusha matangazo Live: Mara yakirushwa yanakatwa, mara video zinaganda. Inatia aibu kiasi kwamba kwenye mkutano wenu wa Arusha aliyerusha matangazo yenu live alikuwa mtazamaji na simu yake ya mkononi ambayo alikuwa ameiweka potrait mode (amesimamisha) badala ya landscape mode(iliyotengenzezwa ili video ijae kwenye screen)

Mnakata mahali muhimu kwenye matangazo kama TBC. Hata ikiwa live, nashangaa inakata kwa style ileile ya TBC, Lissu akianza kutoa cheche inakata. Inabidi mtu u search upya na unakutana na link nyingine.

Hawatengenezi media contents: Embu angalieni nini ACT wanafanya, jinsi wanavyotengeneza material for media kampeni. Jinsi walivyoiwakilisha ilani yao, jinsi wanavyotoa matangazo madogo marahisi kuyaelewa ambayo unaweza sambaza kwenye whatsapp na yana ujumbe wote. Hivi vitu ni bei rahisi kuna wahindi wanapatikana online watakutengezea kwa dolla sita (12,000Tsh).

Mimi sidhani anayeongoza kitengo cha habari hajui kazi yake. Anatumia ujanja kwamba viongozi wa CHADEMA siyo wanahabari na hata kama ni wanahabari hawako exposed na effective way of communication. Naogopa kusema hili lakini naanza kuamini huyo mtu ana kazi maalumu ya kitengo. CCM vita yake kuu ni kunyima ujumbe usifike. Kwa sababu anayependa kusifiwa hapendi kudhalilishwa.

Anayeongoza kutoa habari CHADEMA apewe onyo na asipojirekebisha akae pembeni.

Akhsante.

Niongezee: Hamko consistency na wapi tupate habari. Mara leo BAVICHA Facebook page, kesho CHADEMA TV, keshokutwa Jamvi Online aghhhhhh

Update:
Makala ya pili ya hasira zangu hii hapa;
Chadema, Mlituahidi Kampeni Nyumba kwa Nyumba lakini mnaruka wilaya na vijiji kwenye misafara yenu
Ngoja nikale kabla sijanuniwa na mimi nikirudi nitaandika ya tatu!!
On Point MKUU. Aione John Mnyika kwa utekelezaji.
 
Jifunze kiswahili kwanza
Nimeshaua kichwa umebakia nimkia unachzachezaaa.
Kwaa tarifa yako hiyo kiki ya shinyanga iliyobumaa na mimi nilikuwepo kwamachoyangu nimeshuhudia igizo hilo, ambalo baaadae limetibuliwa na ukosefu wawatuu.
Haaaaa haaaa. Andaeni lingine hilo limebumaaaa
 
Kama hilo tu limewashinda,kuongoza watu na ile Idara ya Msigwa ndo wataiweza?
 
Mnyika solve hili tatizo, si una fungu la ruzuku wewe? - au ruzuku mnakodi ndege za kuwapeleka kwenye kampeni badala ya kutengeneza miundo mbinu ya kuwahabarisha wananchi?

Muwe na chaneli nyingi
Moja ya kurusha fupifupi ili watu wachukue hizo ndogondogo wazisambaze
Na moja ya kurusha mkanda mzima kwa ajili ya wale wanaotaka kufuatilia tukio zima
 
Back
Top Bottom