marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
- Thread starter
- #21
Hahaha vema
Hakusema ukweli hapo.Uzi Mzuri sana ila kwa Mudathiri haijawa hivo Yeye aliulizwa na Mwana FA baada ya game ya Jana amesema hua anampigia Mke wake na Mtoto..Kwamba huku nimefunga tena Mmeona?