Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

RORYA79

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
130
Reaction score
61
Anayepafahamu wilaya ya Sikonge, mkoa wa Tabora, tafadhali naomba unifahamishe jinsi palivyo tabia za wenyeji na mengine mengi unayoyajua tafadhali.
 
Wankaa kito mitobwe...
 
Aaaaaaa kuna mmoja kadondosha ela yake apo aiokote plz
 
Anayepafahamu Wilaya ya sikonge, mkoa wa tabora, Tafadhali naomba unifahamishe jinsi palivyo tabia za wenyeji na mengine mengi unayoyajua tafadhari.
Ni wilaya kongwe sana ila haina maendeleo.
 
Mi niko hapa Tabora mjini na sikonge hua naenda kwa sasa pameanza kupendeza, tofauti na zamani kwa wastani ni pazuri ila siyo mji mkubwa ni wastani
 
Sikonge iko Umbali wa Kilomita takribani 65 kutoka Tabora Mjini Barabara ya Tabora Ipole/Mpanda/Mbeya. Ni mji mkongwe ambao Waaarabu wameushika sana na hivyo usishangae kugika pale ukakuta dereva bodaboda kaoa Mtoto wa Kiarabu. Wanajishugulisha na Kilimo zaidi na Ufugaji. Kuku wapo kwa wingi na Nyama choma kibao.
 
Mi niko hapa Tabora mjini na sikonge hua naenda kwa sasa pameanza kupendeza, tofauti na zamani kwa wastani ni pazuri ila siyo mji mkubwa ni wastani
Nasikia eti asilimia kubwa ya wilayani hiyo imezungukwa na maporini, hivi ni kweli?
 
Mi niko hapa Tabora mjini na sikonge hua naenda kwa sasa pameanza kupendeza, tofauti na zamani kwa wastani ni pazuri ila siyo mji mkubwa ni wastani
Vipi Tabora kupo poa Sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…