Anayepafahamu huku...

tricecriss

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
225
Reaction score
59
Habari zenu wana JF?

Nilikuwa naomba mtu yeyote anafahamu lilipo au yalipo maduka ya vyombo vya nyumba vya mtumba anifahamishe mimi nipo Dar.
 
Panda basi la Mwenge-Tegeta Nyuki, then shuka;

1.Tang bovu, karibu na Kalita pharmacy, utaona hilo duka.

2.Tegeta kibaoni, hapo hapo utaposhuka ukitazama utaona hilo duka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…