Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Habari wana JF,
Mimi kazi niko Mwanza ila ni mzaliwa wa DSM na wazazi wangu wanaishi DSM. Leo katika story na wenzangu tumesikia kuna viwanja vinapatikana eneo linaitwa Mkokozi lipo karibu na Kigamboni.
Kwa anayepafahamu naomba maelezo kuhusu ufikaji wake, mazingira yake, hali ya bara bara na kama watu wameshaanza kujenga maeneo hayo.
Asanteni sana